babyclassic
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 227
- 39
Wanaume wananiboa wanaojifanya wana hela ya kukesha bar wakat hawajui hata kuhonga na wanataka mademu wazuri...
Tena bora umekuja unaboa kinoma.. tangu mwaka jana hujanihonga adi leo sijui unataka mtoto wa kike niishije acha izo
We mwanamke unaependa kuliwa 0713 unaboa kinoma
Wewe mwanaume unaejiona wewe ndio wewe kisa upo nje unaboa sana
Best hiki kijembe kama vile namjua mhusika mmmh
Ha haa pigia mstari shostie,anaboa sana yule
Acha tu kwa kweli kama ni yy hata mi ananiboa. Yeye ni zaid kuliko wa tz wote
He hee kama yeye ndio wakwanza na wamwisho kwenda majuu
Nyie wanaume mnaotoa ahadi zaidi ya miaka miwili haitekelezwi mnaniboa sana.
Wewe mtoto wa kiume unaeandika "xxx" badala ya "sss" hizo ni dalili za u-KE. Wewe mwanaume unaejisifia eti we handsome, una macho mazuri, unapendwa sana na mademu, sijui nini na nini... huo ni ushamba... mwanaume hasifi uzuri.
Wewe mwanaume unaenitumia sms afu mwishoni unamalizia na neno "wangu" aiseee... huwa napata kizunguzungu kwa hasira..
Wewe mtoto wa kiume unaeandika ujumbe humu kwenye majukwaa ya JamiiForums alafu unaandika kwa kufupisha fupisha maneno... huwa unanitia kichefuchefu..
Unaniboa mno, eti mwanaume mzima unajisifia kutembea na wanawake wengi wakati uchumi wako ni sifuri then ukitoka hapo unaanza kulalama serikali haikupi ajira...
Unaniudhi sana wewe mwanaume miaka 28 na zaidi bado uko kwenu.
Ongezea mengine.. hizi kero tuzikatae wajameni...
First Borna