Unaniboa sana

Unaniboa sana

Aaaaa Shem mi nishaachana na walimu ananikeep busy mtwasi wako...

Haloo... Hata mimi nimeona, ila mwambie ananiboa sana, haiwezekani kila siku awe anachimba tu madini kwenye shimo lako... Au ulimwambia hiyo plot ina Tanzanite?
 
Hahahahaaaaa ni mali yake bana mwache kuna kitu kakigundua hataki kukipoteza...
 
Tena bora umekuja unaboa kinoma.. tangu mwaka jana hujanihonga adi leo sijui unataka mtoto wa kike niishije acha izo

Mfungo huu ndo tatizo.. Maana nikikuhonga nitataka tu nanihii..
 
Wewe mwanaume unaejiona wewe ndio wewe kisa upo nje unaboa sana

Na wanaume wote wanaoidharau Tanzania na kuivunjia heshima mbele ya Wakenya huku wanaisifia Kenya na kuipondea nchi yao wenyewe wananiboa sanaaaa... Tena wananiboa hadi natamani nikawashtaki kwa mtoto wa mkulima ili aite FFU wapigwe..
 
Na wapigwe kabisa
 
mmmmh em tuwaite wanaojisifia waje waseme...

ukiwaita watakuja na story za kujua visa, ndege nzuri, mabasi ya uhakika na mitaa ya huko.. kumbe unaweza kukuta huko ni mashoga tu waliobobea kutuma salamu kwa kutumia mic za wanaume wa kizungu
 
wewe mwanaume unaejisifia una hela na hatuoni cha maana ulichofanyia hizo hela zako unaboaa
 
ukiwaita watakuja na story za kujua visa, ndege nzuri, mabasi ya uhakika na mitaa ya huko.. kumbe unaweza kukuta huko ni mashoga tu waliobobea kutuma salamu kwa kutumia mic za wanaume wa kizungu

hahahahaaa maboya tu....
 
Back
Top Bottom