janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Uwiii,.....
shkamoo mamaake mie...
Uwiii,.....
shemeji yangu Firstborn njoo usome vizuri kasema ya kimbeya na si kimbea...mi sijaelewa amanisha nini?
😀 mbona naww ume comment kama ni ya kimbea
Sijakomenti umbea sio vizuri mwanaume kufanya kazi ya kike nlitegemea huu upaso uwe kwa hawa wadada sio mwanaume kujiingiza kweny kazi za kike
Wambea at work???? Good work Madam
Thanks sir...karibu mbea mwenzetu...
Cc nordy, first born et all
umeniboa wewe mama mkwe unaekomenti mshangao wakati unaona mtwasi wangu anampoteza mwanao
shkamoo mamaake mie...
Marhaba mwanangu nimekumiss
😀 hatariii
Cc nordy, first born et all
Nini tena?
Sijakomenti umbea sio vizuri mwanaume kufanya kazi ya kike nlitegemea huu upaso uwe kwa hawa wadada sio mwanaume kujiingiza kweny kazi za kike
Atakuwa amemaanisha uzi wa kule mkoani kwao Mbeya..
c huyu jamaa yetu gombe