Unaniboa sana

Unaniboa sana

Hata kama nirijali,ila kitendo cha mtoto wa kiume kupiga story kuhusu madem 24/7 kinaniboa sana.

Mwanaume kumtumia kidume mwenzio meseji eti "I MISS U MINE" siipendi hii tabia
 
Ww mwanaume unaejisifia hb na kuiiita kpenz cha warembo ww mwnyw ushakua mrbo bdo kuliwa2 unaboa sana.... na ww mwanaume unatumiwa mesg na kujibu p.k unaboa sana unaboaaaa saaaaaanaaaaaaa aaaaah!!!!
 
Mchepuko ..unang'ang'ania kuendesha magari ya wanaume na hujui ...ili tu uringishie wenzio..unaboa
 
Sipendi mwanaume anayechangie kwenye thread ya kimbeya kama hii muwe wanaume sio wavulana
 
Sipendi mwanaume anayechangie kwenye thread ya kimbeya kama hii muwe wanaume sio wavulana

tena unaboa sana ww unaeita hii thread ya kimbea wakati we mwenyewe unacomment
 
unaboa we mwanaume na mazivu yako eti upo team wema, team kajala team wolper, team Zari. utaliwa tak. o

sio team kike tu... hata hizi team za kiume... mwanaume unatafuta hela sio kushabikia mafanikio ya wenzio
 
tena unaboa sana ww unaeita hii thread ya kimbea wakati we mwenyewe unacomment

WEwe nadhani utakua KE maana kama mwanaume hawi hivyo kubisha bila sababu na mambo ya ushostito ka mtu hujapenda mtu anachofanya au ana mambo ya ajabu mchane sio kumleta huku kinafiki
 
Sipendi mwanaume anayechangie kwenye thread ya kimbeya kama hii muwe wanaume sio wavulana

shemeji yangu Firstborn njoo usome vizuri kasema ya kimbeya na si kimbea...mi sijaelewa amanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom