Unaniboa sana

Unaniboa sana

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,484
Wewe mtoto wa kiume unaeandika "xxx" badala ya "sss" hizo ni dalili za u-KE. Wewe mwanaume unaejisifia eti we handsome, una macho mazuri, unapendwa sana na mademu, sijui nini na nini... huo ni ushamba... mwanaume hasifi uzuri.

Wewe mwanaume unaenitumia sms afu mwishoni unamalizia na neno "wangu" aiseee... huwa napata kizunguzungu kwa hasira..

Wewe mtoto wa kiume unaeandika ujumbe humu kwenye majukwaa ya JamiiForums alafu unaandika kwa kufupisha fupisha maneno... huwa unanitia kichefuchefu..

Unaniboa mno, eti mwanaume mzima unajisifia kutembea na wanawake wengi wakati uchumi wako ni sifuri then ukitoka hapo unaanza kulalama serikali haikupi ajira...

Unaniudhi sana wewe mwanaume miaka 28 na zaidi bado uko kwenu.

Ongezea mengine.. hizi kero tuzikatae wajameni...

First Borna
 
na wewe mwanamke umri umeshaenda hutaki kuolewa, unasubiri kupiga mizinga tu.... hak ya nani unaboa sana

Kwi kwi kwiii everlenk ukujege na huku tuwaumbue wa kina desh desh coz hawahongi wanaboa kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa umeuaa mamy kama vile naona umempiga mtu jiwe

hahaa... hilo jiwe halijanipata... then unaboa sana wewe mwanamke unaejifanya uko paradisi kisa unatembelea vitz ya boyfriend wako.. unaniboa kinyama
 
Wew mwanamke unaejiona princess kisa mkorogo umekukubali unaboa kinoma……
 
Back
Top Bottom