Unaniacha kwa vile umepata unachokitaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaniacha kwa vile umepata unachokitaka.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Viol, Apr 26, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hii kauli inakera sana,mnashindwana kwa mambo mengine ila yeye anang'ang'ania 'umeniacha kwa vile umeshapata ulichokitaka"

  Kwani we ulikuwa hutaki?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana kwa wapenda kuchovya halafu wanatoka nduki..
   
 3. y

  yplus Senior Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na yeye anakuwa amepata alichokitaka.
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ila wanawake wamekariri hiyo kauli
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  sasa kama kapata kwanini aanza kukuambia wewe?
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  duh . . . . .
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo kinachokukera ni nini?? Na kwanini hiyo kauli ikuguse saaana?
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  inanigusa kwasababu nia yangu haikuwa hicho kauli chake
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wewe ndo umekariri kuwa hiyo kauli hutoka kwa wanawake!! We umeshaachana na wangapi ambao wamekutamkia hivyo??
   
 10. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Kama ni utupu hata mimi si nimeona wa kwako....ngoma droo! kauli kama hizi za kujilegeza ndo zinazowapa kichwa wanaume na kuona kweli wanawake ndo huumia kama mkibreak mapema......
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nafuu hiyo mkuu kuna wanayosema umenichezea sasa umenichoka ndo najiuliza kama mimi nimekuchezea wewe hujanichezea.Hii jinsia kukaa nayo unahitaji uvumilivu sana
   
 12. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nshaambiwa maneno haya!
  Kumbe ni wimbo wa taifa!
   
 13. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Ukiona hivyo ujue yeye bado anataka, tena anataka dudu tu, hamna jingine.

  Mi kauli hizo huwa nazimaliza kwa kula mzigo tena, na sikunyingine akitaka namtafuna tena, hata kama uhusiano wetu ulishakwisha.
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  yaah naona unaguna,au huwa unasema hivo hivo
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  swali inabaki kwani yeye alikuwa hataki ninachompa?
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hii kauli inaonyesha kama yeye alikuwa haenjoy mlipokuwa pamoja
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanaosema hayo Maneno ni wale wasio jiamini umenichezea,umenitumia,sasa ushapata mzuri anaekufa, kwangu ulijishikiza tuu haya nenda kwa huyu alokua mtamu na mzuri zaidi,kama unajiamini akikwambia staki mwambie naiwe basi nilikua nakuonea vibaya kukwambia lakini hasa nilikua nishachoka umefanya jambo la kiume sanaaaaa kusema basi haya mwenzangu kila la kheir... na unaanza kujipanga tena upya.
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  labda hawajielewi mana ule mchezo mnacheza pamoja
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ni zaidi ya wimbo wa taifa mkuu
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kwahiyo anaogopa atamiss nini?
   
Loading...