Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
- Thread starter
- #81
Nakupenda dady,nikisoma story za wengine Sina Budi kumshukuru Mungu sana
Dad's daughter!
R.i.p dady1:baba alinipenda sana na vile nilikuwa mtoto Wa kwanza wacha kabisa.
2: Alipenda nisome, wakati huo alikufa nikiwa na just 6 yrs, kila Siku nikitoka shule ulinambia " nasubiri ufikishe miaka 7 nikupeleke Nairobi
3: alinichapa sana lipokuwa nashindwa swali shuleni nikifika home viboko hadi nipatie.
4: kitu ambacho sitosahau ni jinsi baba alivyokuwa akipendwa na watu, aiseee watu kwenye roho nzuri hawadumu.
5: baba alikuwa akitoka safari watu wote maeneo ya home wanakusanyika nyumbani, wanapika watu wanakula, Siku hiyo watachinja ng'ombe, watakula, zingine watabeba.dah
6: kila jion utaona wabibi na vibatari na chupa wakifata nyumbani mafuta ya Taa, sukari,maziwa dah! Yaan baba akitoka safari ni sherehe nyumbani.
7: wageni nyumbani walikuwa hawakatiki, mama atashinda anapika, chakula kikiisha wengine wanaingia, anapika tena, hadi huruma. Kila Siku anapika masufulia makubwa matatu na zaidi
8: marafiki zake wanyarwanda na wengine wakija kutembea ni mwezi mzima na familiya zao,tulikuwa hatujawai lala nyumbani bila mgeni mmhhhh!
9: Siku baba amefariki, ndio nilijua duniani tenda wema, watu walilia sijawahi kuona.
10 watu walikuwa ni wengi, ndani ya Siku tatu wakimsubiri mama afike alikuta walishachinja ng'ombe 11, tulikuwa na ng'ombe wengi
11 msiba ulimaliza zaidi ya mwezi watu wa nakuja nyumbani, wakifika msiba unaanza tena, kumbuka hakukuwepo simu so taarifa zilichelewa kuwafikia marafiki zake.
Baba alikufa akiwa mdogo sana ni zaidi ya miaka 20 R.I.P dad. we mis s u.
Wababa wote happy father's day.
We call it fathers therapy! Thanks for the love dear dad.Indeed and I'm so proud. I could have been a waste on Earth I assure you.
We call it fathers therapy! Thanks for the love dear dad.
Hatari sanaDah!!cjui hata nimueleze vp mzee wangu!ila namkubali sana.
Kwanza mtata sana.Namshukuru Mungu maana bila utata wa baba angu sijui ningekua wap.Alikua anatandika viboko sio vya nchi hii.
Chumban kwake mkono wa kulia kwenye kona huwa hapakauki stock ya viboko mpaka leo hii mm nimekua na nmezaa watoto ila wakienda kwa babubyao wanakutaga utaratibu ule ule.fimbonkwenda mbele kama hujielewi.Alini shape sana.Matukio ni mengi ila haya yafuatayo ni kwa uchache.nitazungumzia adhabu zake zaid.
1.mzee wangu alikua ana level za vipigo.**** vipigo vya watoto wa primary,wa sexondary na ambao wko kwenye maisha tayar.Nilipokua primary school nilikua na mchezo sana na shule nakumbuka nafasi kubwa niliyowah kushika my entire 7 years ni kuwa wa 56 kati ya watoto 80.Hapo ndio nilifaulu.
Ila nikawa naviona vipigo wanavyopokea kaka zangu pindi wanapo fail masomo.Aisee.Mitama ngumi mateke ya van dame yalikua yanahusika.Hata smeza utarushiwa yan full kichapo kazi kwako kupangua ngumi.Na ole wako u panch ohooo kesi nyingine.Unataka kuoigana nae.hiyo ni kesi kubwa.
So nilipoingia secondari nika nikawazaaa nikaona hiv vipigo mm siviwez.Ikabid nianze kusoma kwa bidii sanaaaaa na kwel mpaka namaliza 4 nikala div 1 yangu kali.Ahsante baba kwa hili.
2.Tukio la pili.
Licha ya ukali wa mzee alikua hapend kuonea watu hata sisi watoto wake.Ana deal orthogonally na ww pale panpostahil.
Sasa kuna babamdogo etu mmoja alikua ameoa na amezaa watoto wa 3.Sasa kila mara anapiga mkewe anawafukuza usiku wa manae na watoto Mamdogo anakuja kushtaki home.Mzee akamsuluhishaaa ila ndingi mdogo hasikii.
Siku moja usiku kama kawaida madogo kaja kushtaki amefukuzwa na watoto kisa jamaa kalewa pombe.
Baba angu akamchukua kwenye gari akabeba na watoto akachukua na bakora za kutosha.Alipofika akamwambia neno moja tu."ww si unaona raha kupiga mkeo mbele ya watoto?, sasa leo nimekuja uoigane na mm" .Alimlamba bakora mbele ya mkewe na wanae .Chapa sana mdogo ake halaf akamwambia ole wako nije kuona watoto na mama yao wanakimbia kimbia usiku...
Aisee dingi mdogo alijiskia vibaya sana kutandikwa mbele ya watoto.Alijirekebisha sana na pombe ukawa ndio mwisho.
NB
utata wa wazee wa zaman umetusaidia wengi sanaaaaaaa
Habari zenu wanna jf
Katika kuazimisha siku ya kina baba duniani Leo tujadili kidogo namna unavyoweza kuzungumza juu ya baba yako.
Binafsi kwa upande wangu toka nikiwa mtoto namfahamu baba yangu Kama mtetezi ,mlinzi na mtunzaji ,kiongozi,mwalimu na msemaji mkuu wa familia
Sitaki kuimagine maisha bila baba(though Kuna wengine wamepitia maisha hayo Mungu awatie nguvu sana ,R.I.P).
Nakumbuka nilifika darasa la tatu bila kujua kusoma ila baba aliamua kuanzisha darasa maalum nyumbani Hadi nikajua kusoma.
Katika maisha yangu yote ya kusoma baba alisimama Kama baba ilikuwa ni ngumu Mimi kuanza mitihani wowote kuanzia secondari Hadi chuo baba asifahamu na asijue nimepata ufaulu gani.
Namshukuru Mungu kwa ajili ya uwepo wa baba yangu duniani, katika kusherekea siku hi muhimu namwombea sana Mungu aendelee kumweka
Happy Father's day
#Unamzungumziaje baba yako?!
Vp akaamka akakuta unajiita bikini?Dah......R.I.P ddy uliondoka hata mapenzi yako siyajui.
hahah😂😂😂 nikiwa mzee nataka niwe kama babaako ila mke wangu akiwa anastahili ndio tu. Akiwa fara ataisoma nambaYaani mama sijui anampaga nini Mzee maana akisema kitu baba ni ndiyo ndiyo mke wangu.