Unamzungumziaje Baba Yako

Unamzungumziaje Baba Yako

Ni mkali halafu mkoloni kinyama. Jambo moja namshukuru alizingatia sana masuala ya Elimu yaani kwake bora mtu akose vyote lkn asikose Elimu. Na ndivyo ilivyo mpk sasa yeye ni maskini lakini tayari wanawe wote tunaElimu ambayo inatosha kututoa level hii ya umaskini siku zijazo tutakuwa juu.
 
namwona kama mtu wa kawaida tu maana hakuruhusu nionemchango wake kwangu, hadi najisikia hasira kuita baba! Hajui nmeishije hàta shule nmesoaje lakin sahiv kuuliza tu bado hujaajiriwa? Huwa nataman hata simu nimkatie
By the way namtakia maisha marefu ili ashuhudie faida ya kukimbia majukumu
 
Baba yangu ndo my role model alipigana sana tufike mbali ingawa sometimes tulizingua namheshimu kwa hilo. Alikuwa mkimya na mpole though baada ya kifo cha mama amechange but still tunampenda na kumuombea... Natumai ntaishi kufata nyendo zake na kwenye mapungufu nirekebishe
 
To my father,

A day isn't enough to honor you Dad, you have been my father and mother at the same time.

You made me a friend, a daughter, a person with value and honor.

You are my world, a shoulder to lean on, my pillars of support and strength, my mentor, my Muse, my alpha male, my sensei, my all time ATM, my hero.

I remember back in days when mama was rude, I remember your words, "wanangu nitawajali, nipo na nyingi hilo ni jukumu langu mpaka nife" You have been good and yet you are.

Nimekuwa mkubwa, nitafanya kazi na wewe upumzike Baba , you were not rich but never happened a day without a daily bread, shoes on feet, a shelter for sunny and rainy, fee, without forgetting nguo za spesheli msimu wa sikukuu.

When I count my blessings I count you twice and start over and over again. You made me who I'm today, God bless you.

Live long on Earth, and thereafter God grant you a Paradise.

Happy father's day.
 
Dad's daughter!

My dearest father..
Pamoja na machungu mengi na kufanya maisha yetu kuwa magumu, tukinyanyasika na kupigwa danadana na ndugu ilhali wewe ulikuwa hai ukitumbua na vimada wa kila aina....

Pamoja na kumtesa mama, kumpiga kumnyanyasa, kumdharau, kumdhalilisha na hatimae mauti yakamkuta na wala usiende kumzika.....

Bado ninacho cha kukushukuru, asante kwa kunileta duniani. Asante kwa kunipitisha kwny tanuri la moto toka nikiwa mdogo, imenisaidia kuishi na watu wa kila aina.

Thank u for shaping my life father. I hope upo mahali palipokustahili. May u rest in peace.....

Happy fathers day.
Acha kumung'unya Maneno... He was a loser, irresponsible father.

Waswahili bhana, eti mtu akifa hasemwi vibaya.
 
My father is yuko akili nyingi sana, upeo mkubwa, huruma na upendo wa hali ya juu, japo amefanya makosa mengi na yanatucost lakini ndani ya moyo wangu najua he is a very GOOD person, MUNGU akubariki mzee wangu.
 
best father, zamani nilikuwa simuelewi namuona mnoko ila sas namuelewa sana, love you dad
 
Baba yangu nampenda sana aisee alikua ananiogesha,ananiwekea neti wakati wa kulala, alikua ananipeleka shule ananipitia kuja nichukua ananileteza zawadi nakumbuka mara ya mwisho alinibutua nikiwa form four nilifanya kiburi tangu hapo sijapigwa tena...ha ha ha above all ananiita mama....he he he nakupenda baba yangu..
 
Back
Top Bottom