Unaweza kusema loloteNa sisi ambao walikataa tokea Mimba mpaka sasa hivi above 30 tunachangia eeeh? Au kwa nyie wenzetu mlionao Baba zenu.
Tuko pamoja tunapambana na hali zetu.Unatelekezwa halafu unaachwa kwa Baba na Mama yake Mama yako ndiyo wanakulea.Mama anaenda kuanzisha mji wake huko hataki hata uende utamharibia huko alipo.Hapo utatamani ardhi ipasuke tuuKwa kuwa Baba alinitelekeza na kunitoa zawadi kwa Mama, leo sina hata cha kumwambia.
Pole sanaDah......R.I.P ddy uliondoka hata mapenzi yako siyajui.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Tuko pamoja tunapambana na hali zetu.Unatelekezwa halafu unaachwa kwa Baba na Mama yake Mama yako ndiyo wanakulea.Mama anaenda kuanzisha mji wake huko hataki hata uende utamharibia huko alipo.Hapo utatamani ardhi ipasuke tuu
Dah!!Tuko pamoja tunapambana na hali zetu.Unatelekezwa halafu unaachwa kwa Baba na Mama yake Mama yako ndiyo wanakulea.Mama anaenda kuanzisha mji wake huko hataki hata uende utamharibia huko alipo.Hapo utatamani ardhi ipasuke tuu
BravooR.I.P baba! maisha ni changamoto bila kuwepo wewe.Lakini niliamua kuchukua jukumu lako pale tu nilipogundua wewe haupo, nimekua mlinzi wa familia jukumu ambalo utakua very proud of me uko uliko.
Kina baba njooni, kesho yenu watoto watawazungumziajeHakuna haja ya kumzungumzia Baba, nafikiri ni jambo zuri tupeane changamoto za watoto wetu sisi kina Baba.
Was this necessary?Sasa unamuuliza nani?
Mwanaume yeyote anayempenda mkewe yupo hivi, hata akimkosoa na kumfokea atafanya hivyo chumbani na sio mbele ya watotoYaani mama sijui anampaga nini Mzee maana akisema kitu baba ni ndiyo ndiyo mke wangu.
Kiukweli baba yangu ni baba bora, kuhusu kuwa mume bora sina uhakika sana. Anajali, hapendi watoto wake wapate shida....kama sio mama sisi huenda tungekuwa wazembe sana ila kwa yule mwanamke walah tumenyooka, dada yetu mkubwa anamuitaga Head girlHabari zenu wanna jf
Katika kuazimisha siku ya kina baba duniani Leo tujadili kidogo namna unavyoweza kuzungumza juu ya baba yako.
Binafsi kwa upande wangu toka nikiwa mtoto namfahamu baba yangu Kama mtetezi ,mlinzi na mtunzaji ,kiongozi,mwalimu na msemaji mkuu wa familia
Sitaki kuimagine maisha bila baba(though Kuna wengine wamepitia maisha hayo Mungu awatie nguvu sana ,R.I.P).
Nakumbuka nilifika darasa la tatu bila kujua kusoma ila baba aliamua kuanzisha darasa maalum nyumbani Hadi nikajua kusoma.
Katika maisha yangu yote ya kusoma baba alisimama Kama baba ilikuwa ni ngumu Mimi kuanza mitihani wowote kuanzia secondari Hadi chuo baba asifahamu na asijue nimepata ufaulu gani.
Namshukuru Mungu kwa ajili ya uwepo wa baba yangu duniani, katika kusherekea siku hi muhimu namwombea sana Mungu aendelee kumweka
Happy Father's day
#Unamzungumziaje baba yako?!