Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,754
we mxnge dahVp akaamka akakuta unajiita bikini?
๐๐๐๐๐๐
we mxnge dahVp akaamka akakuta unajiita bikini?
Hawa ndio mabinti ukioa unapata raha wako very humble na wanajua upendo ni nini.Dad's daughter!
tutakaoteseka ni sisi wana UFIDUBaba yangu nampenda sana aisee alikua ananiogesha,ananiwekea neti wakati wa kulala, alikua ananipeleka shule ananipitia kuja nichukua ananileteza zawadi nakumbuka mara ya mwisho alinibutua nikiwa form four nilifanya kiburi tangu hapo sijapigwa tena...ha ha ha above all ananiita mama....he he he nakupenda baba yangu..
Atakaeoa sasa ndio namuonea hurumaSimpendi baba... Nampenda mama.
Baba akafie mbali!
Masela inabidi mkaze ๐๐๐ sio mselelekee free za Kitonga. Wacheni madada wale raha za boss kaziShua boy napokukubali hujawah kucheka na kima, nakuheshim sana ingawa unawapenda dada zetu kuliko sisi masela
halafu unakuta mwanamke analeta utoto wa kupondea aina hio ya.maleziDah!!cjui hata nimueleze vp mzee wangu!ila namkubali sana.
Kwanza mtata sana.Namshukuru Mungu maana bila utata wa baba angu sijui ningekua wap.Alikua anatandika viboko sio vya nchi hii.
Chumban kwake mkono wa kulia kwenye kona huwa hapakauki stock ya viboko mpaka leo hii mm nimekua na nmezaa watoto ila wakienda kwa babubyao wanakutaga utaratibu ule ule.fimbonkwenda mbele kama hujielewi.Alini shape sana.Matukio ni mengi ila haya yafuatayo ni kwa uchache.nitazungumzia adhabu zake zaid.
1.mzee wangu alikua ana level za vipigo.**** vipigo vya watoto wa primary,wa sexondary na ambao wko kwenye maisha tayar.Nilipokua primary school nilikua na mchezo sana na shule nakumbuka nafasi kubwa niliyowah kushika my entire 7 years ni kuwa wa 56 kati ya watoto 80.Hapo ndio nilifaulu.
Ila nikawa naviona vipigo wanavyopokea kaka zangu pindi wanapo fail masomo.Aisee.Mitama ngumi mateke ya van dame yalikua yanahusika.Hata smeza utarushiwa yan full kichapo kazi kwako kupangua ngumi.Na ole wako u panch ohooo kesi nyingine.Unataka kuoigana nae.hiyo ni kesi kubwa.
So nilipoingia secondari nika nikawazaaa nikaona hiv vipigo mm siviwez.Ikabid nianze kusoma kwa bidii sanaaaaa na kwel mpaka namaliza 4 nikala div 1 yangu kali.Ahsante baba kwa hili.
2.Tukio la pili.
Licha ya ukali wa mzee alikua hapend kuonea watu hata sisi watoto wake.Ana deal orthogonally na ww pale panpostahil.
Sasa kuna babamdogo etu mmoja alikua ameoa na amezaa watoto wa 3.Sasa kila mara anapiga mkewe anawafukuza usiku wa manae na watoto Mamdogo anakuja kushtaki home.Mzee akamsuluhishaaa ila ndingi mdogo hasikii.
Siku moja usiku kama kawaida madogo kaja kushtaki amefukuzwa na watoto kisa jamaa kalewa pombe.
Baba angu akamchukua kwenye gari akabeba na watoto akachukua na bakora za kutosha.Alipofika akamwambia neno moja tu."ww si unaona raha kupiga mkeo mbele ya watoto?, sasa leo nimekuja uoigane na mm" .Alimlamba bakora mbele ya mkewe na wanae .Chapa sana mdogo ake halaf akamwambia ole wako nije kuona watoto na mama yao wanakimbia kimbia usiku...
Aisee dingi mdogo alijiskia vibaya sana kutandikwa mbele ya watoto.Alijirekebisha sana na pombe ukawa ndio mwisho.
NB
utata wa wazee wa zaman umetusaidia wengi sanaaaaaaa
Wow, I hope you will do the same to our kidsHe's a genius by IQ and a very smart,loving, understanding and generous man hajuagi kuweka kinyongo na mtu.
Ali excel mapema sana kimaisha through education na at age 23 alikabidhiwa senior position kwenye sector nyeti. Too bad alifika juu at a very young age akahujumiwa na wazee aliowapiga gap kwa kitabu kama mjuavyo li inchi letu hili ukiwa junior by age ila zinachaji haswa akatoka kwenye system mapema but still amemanage kuishi standard life nje ya system till date.
Babu alikuwa anamtambua kama Simba ilionyeshewa na mvua maana kwa mda mchache tu alibadili maisha ya kwake,kwao na ya ndugu wengi kwenye ukoo. Hakuna mtu ambae alikuwa karibu nae ambae hakugusa maisha yake kwa hali na mali. Kama ni bata watu walikula sana wa kusoma walisoma, wa kujengewa walijengewa na mawe yalikuwa sio ya masihara.
Personally, im thankful to have him as a dad na ninaweza kusema japo tulimpoteza mama mapema he's been enough of a man katika makuzi yangu kwa kunifacilitate kwa mengi tu kama mzazi mpaka nilipofikia hatua ya kujitegemea na nimejitahidi sana kutokum dissapoint throughout. Sahizi tunaongozana kwenye public events and we are both proud of eachother.
Ameweka alama kubwa kwenye maisha yangu as a good leader and example kwenye jamii, challenging at times ila kila anaemfahamu anamuongelea kwa mazuri tu sijawahi sikia negative reviews, inshort sina la zaidi la kumlipa but kumuombea afya njema zaidi najitahidi kumbariki na upendo tu na ma luxuries anazopenda katika safari yake ya maisha iliobaki hapa duniani.
Nampenda sana mzee wangu.
Aaah chief moja ya watu wanachangia sana ku discourage discipline ya watoto ni hawa wake zetu wa siku hiz ...halafu unakuta mwanamke analeta utoto wa kupondea aina hio ya.malezi
Dah..congrats sana kiongozi...He's a genius by IQ and a very smart,loving, understanding and generous man hajuagi kuweka kinyongo na mtu.
Ali excel mapema sana kimaisha through education na at age 23 alikabidhiwa senior position kwenye sector nyeti. Too bad alifika juu at a very young age akahujumiwa na wazee aliowapiga gap kwa kitabu kama mjuavyo li inchi letu hili ukiwa junior by age ila zinachaji haswa akatoka kwenye system mapema but still amemanage kuishi standard life nje ya system till date.
Babu alikuwa anamtambua kama Simba ilionyeshewa na mvua maana kwa mda mchache tu alibadili maisha ya kwake,kwao na ya ndugu wengi kwenye ukoo. Hakuna mtu ambae alikuwa karibu nae ambae hakugusa maisha yake kwa hali na mali. Kama ni bata watu walikula sana wa kusoma walisoma, wa kujengewa walijengewa na mawe yalikuwa sio ya masihara.
Personally, im thankful to have him as a dad na ninaweza kusema japo tulimpoteza mama mapema he's been enough of a man katika makuzi yangu kwa kunifacilitate kwa mengi tu kama mzazi mpaka nilipofikia hatua ya kujitegemea na nimejitahidi sana kutokum dissapoint throughout. Sahizi tunaongozana kwenye public events and we are both proud of eachother.
Ameweka alama kubwa kwenye maisha yangu as a good leader and example kwenye jamii, challenging at times ila kila anaemfahamu anamuongelea kwa mazuri tu sijawahi sikia negative reviews, inshort sina la zaidi la kumlipa but kumuombea afya njema zaidi najitahidi kumbariki na upendo tu na ma luxuries anazopenda katika safari yake ya maisha iliobaki hapa duniani.
Nampenda sana mzee wangu.
Asante mkuuDah..congrats sana kiongozi...
Here I am!Baba yangu Ni rafiki yangu
Anajali mafanikio yangu(He feel proud of me)...anajivunia Mimi kuwa mwanae,
Ni baba Bora kwangu
Kuna wakati kunatokea Hali ya kutoelewana baba na mama...mimi Ni rafiki yake ndiye mtoto pekee niliyebakia nyumbani (last born) ataniita na kunishirikisha..nitaongea na wazazi wangu kwa upendo bila kuegemea upande mmoja
Furaha anayokuwa nayo baba yangu nikifanikiwa hasa kitaaluma Ni kubwa Sana pengine kuzidi hata yangu
Akiwa na hela hapendi nipate shida hata kidogo
Sijawahi onja kipigo Cha baba hata siku moja...na Niko katika njia Bora kabisa
Natamani wanangu waje kuwa na baba Bora ikiwezekana zaidi ya baba yangu
"Happy father's day"
Nimempenda sasa I wish angekuwa ndo baba mkwe wanguHe's a genius by IQ and a very smart,loving, understanding and generous man hajuagi kuweka kinyongo na mtu.
Ali excel mapema sana kimaisha through education na at age 23 alikabidhiwa senior position kwenye sector nyeti. Too bad alifika juu at a very young age akahujumiwa na wazee aliowapiga gap kwa kitabu kama mjuavyo li inchi letu hili ukiwa junior by age ila zinachaji haswa akatoka kwenye system mapema but still amemanage kuishi standard life nje ya system till date.
Babu alikuwa anamtambua kama Simba ilionyeshewa na mvua maana kwa mda mchache tu alibadili maisha ya kwake,kwao na ya ndugu wengi kwenye ukoo. Hakuna mtu ambae alikuwa karibu nae ambae hakugusa maisha yake kwa hali na mali. Kama ni bata watu walikula sana wa kusoma walisoma, wa kujengewa walijengewa na mawe yalikuwa sio ya masihara.
Personally, im thankful to have him as a dad na ninaweza kusema japo tulimpoteza mama mapema he's been enough of a man katika makuzi yangu kwa kunifacilitate kwa mengi tu kama mzazi mpaka nilipofikia hatua ya kujitegemea na nimejitahidi sana kutokum dissapoint throughout. Sahizi tunaongozana kwenye public events and we are both proud of eachother.
Ameweka alama kubwa kwenye maisha yangu as a good leader and example kwenye jamii, challenging at times ila kila anaemfahamu anamuongelea kwa mazuri tu sijawahi sikia negative reviews, inshort sina la zaidi la kumlipa but kumuombea afya njema zaidi najitahidi kumbariki na upendo tu na ma luxuries anazopenda katika safari yake ya maisha iliobaki hapa duniani.
Nampenda sana mzee wangu.
Wababa wengine Hadi lahaaaaaaBaba yangu Ni rafiki yangu
Anajali mafanikio yangu(He feel proud of me)...anajivunia Mimi kuwa mwanae,
Ni baba Bora kwangu
Kuna wakati kunatokea Hali ya kutoelewana baba na mama...mimi Ni rafiki yake ndiye mtoto pekee niliyebakia nyumbani (last born) ataniita na kunishirikisha..nitaongea na wazazi wangu kwa upendo bila kuegemea upande mmoja
Furaha anayokuwa nayo baba yangu nikifanikiwa hasa kitaaluma Ni kubwa Sana pengine kuzidi hata yangu
Akiwa na hela hapendi nipate shida hata kidogo
Sijawahi onja kipigo Cha baba hata siku moja...na Niko katika njia Bora kabisa
Natamani wanangu waje kuwa na baba Bora ikiwezekana zaidi ya baba yangu
"Happy father's day"
Pamoja na mapungufu mengi aliyonayo baba yangu still He is the best dad in the worldWababa wengine Hadi lahaaaaaa
Utapata mke anayekustahili .hahahnikiwa mzee nataka niwe kama babaako ila mke wangu akiwa anastahili ndio tu. Akiwa fara ataisoma namba