muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,588
Ina maana kweli haujui anachompa?Yaani mama sijui anampaga nini Mzee maana akisema kitu baba ni ndiyo ndiyo mke wangu.

Ina maana kweli haujui anachompa?Yaani mama sijui anampaga nini Mzee maana akisema kitu baba ni ndiyo ndiyo mke wangu.

My dearest father..
Pamoja na machungu mengi na kufanya maisha yetu kuwa magumu, tukinyanyasika na kupigwa danadana na ndugu ilhali wewe ulikuwa hai ukitumbua na vimada wa kila aina....
Pamoja na kumtesa mama, kumpiga kumnyanyasa, kumdharau, kumdhalilisha na hatimae mauti yakamkuta na wala usiende kumzika.....
Bado ninacho cha kukushukuru, asante kwa kunileta duniani. Asante kwa kunipitisha kwny tanuri la moto toka nikiwa mdogo, imenisaidia kuishi na watu wa kila aina.
Thank u for shaping my life father. I hope upo mahali palipokustahili. May u rest in peace.....
Happy fathers day.

jamani mamdogo poleSijui eti.Ina maana kweli haujui anachompa?![]()
Kweli, maana sijawahi ona mama na baba wakikaripiana yaani.Mwanaume yeyote anayempenda mkewe yupo hivi, hata akimkosoa na kumfokea atafanya hivyo chumbani na sio mbele ya watoto
Asante mamdogojamani mamdogo pole
Bravoo
Astaghfirullah...Bwege mmoja hivi anajikuta mjuaji kwa kila kitu ,yeye ndio Mungu hajawai kukosea na hawezi kukosea..
Anapenda sifa za kijinga
Anaweza kukupiga mbele za watu ili wamuone kama anajua kupiga.
Ukifanya kosa hasahau miaka yote
Amempiga sana Mama yangu na kumtukana kwa sababu ya pombe zake
Kosa lako moja linasahaulisha mazuri yako yote sijui atakufa lini huyu bwege simpendi hata kidogo
Nampenda sana mamà yangu tokea nipo mtoto hajawai kunitamkia kauli ya kushindwa
Thank you honeyHappy father's day
Kweli tunatofautiana sana...Bwege mmoja hivi anajikuta mjuaji kwa kila kitu ,yeye ndio Mungu hajawai kukosea na hawezi kukosea..
Anapenda sifa za kijinga
Anaweza kukupiga mbele za watu ili wamuone kama anajua kupiga.
Ukifanya kosa hasahau miaka yote
Amempiga sana Mama yangu na kumtukana kwa sababu ya pombe zake
Kosa lako moja linasahaulisha mazuri yako yote sijui atakufa lini huyu bwege simpendi hata kidogo
Nampenda sana mamà yangu tokea nipo mtoto hajawai kunitamkia kauli ya kushindwa
Bwege mmoja hivi anajikuta mjuaji kwa kila kitu ,yeye ndio Mungu hajawai kukosea na hawezi kukosea..
Anapenda sifa za kijinga
Anaweza kukupiga mbele za watu ili wamuone kama anajua kupiga.
Ukifanya kosa hasahau miaka yote
Amempiga sana Mama yangu na kumtukana kwa sababu ya pombe zake
Kosa lako moja linasahaulisha mazuri yako yote sijui atakufa lini huyu bwege simpendi hata kidogo
Nampenda sana mamà yangu tokea nipo mtoto hajawai kunitamkia kauli ya kushindwa

nimecheka Kama mazuri dahh.. Msamehe bure jamaniIsije ikawa baba yako ndo baba yangu. Huyu mzee ni gentleman wa kupigiwa mfano. Najaribu kuvaa viatu vyake lakini vinanipwaya...Caring,understanding
Yani he's my everything...hakuna kiumbe kama yeye katika hii dunia
Happy father's day to all fathers humu JF
SanaKweli tunatofautiana sana...