unamuombaje Penzi mwenzio

mapenzi yana kazi eehh...mie ckumbuki cku ya mwisho kuombwa penzi ni lini, mie najikutaga tu tunafanya jamani!

Naomba ushauri juzi kati niliharibu kwa mlokole niliota usiku namwambia swt vua basi kumbe alikuwa amevua lol
 
yani umenivunja mbavu hapa mama mkubwa lol......yani naturally

ndio hivyo mama mdogo, yaani ckumbuki ktk miaka 6 kama nilishawahi kuombwa, na ctaki aombe kabisa hivi hivi ndio nzuri coz na mie cmuombagi......
 
unabakwa au?

tumelala mchana/ucku akiweka/nikimwekea mkono mahali fulani mambo yanajipa, kaja jikoni kachukua mwiko kaweka pembeni nazima jiko mambo yanaendelea, sitting room nikimkalia mambo yanaendelea...sasa cna hakika kama tunabakana au laaaa!
 
Naomba ushauri juzi kati niliharibu kwa mlokole niliota usiku namwambia swt vua basi kumbe alikuwa amevua lol

hiyo dudu yako bado inacmama? kwann unacheza na wapendwa wa bwana...kama inacmama ujue mlokole fake huyo original icngecmama milele....lol
 
tumelala mchana/ucku akiweka/nikimwekea mkono mahali fulani mambo yanajipa, kaja jikoni kachukua mwiko kaweka pembeni nazima jiko mambo yanaendelea, sitting room nikimkalia mambo yanaendelea...sasa cna hakika kama tunabakana au laaaa!
kumbe ndio maana uwa unapeleka watoto kwa bibi yao pamoja na hausi gelo kila mara ili muwe huru? mie nimeshashindwa mambo ya mchana na sebuleni maana nikiingia room tu na wifi yako kazuwanda kanakuja kugonga mlango labda ukilie timing kakiwa kamelala

Heri ya mwaka mpya Nyamayao maana utujaonana muda (Ki-JF)
 
Watotio na msichana wa kazi mmewatimulia wapi hadi ujivinjari sebuleni hadi jikoni?
tumelala mchana/ucku akiweka/nikimwekea mkono mahali fulani mambo yanajipa, kaja jikoni kachukua mwiko kaweka pembeni nazima jiko mambo yanaendelea, sitting room nikimkalia mambo yanaendelea...sasa cna hakika kama tunabakana au laaaa!
 
tumelala mchana/ucku akiweka/nikimwekea mkono mahali fulani mambo yanajipa, kaja jikoni kachukua mwiko kaweka pembeni nazima jiko mambo yanaendelea, sitting room nikimkalia mambo yanaendelea...sasa cna hakika kama tunabakana au laaaa!

Hii ya jikoni Nyamayao,
wallahi mnaweza kujikuta mmeangukia sufuria la maji ya ugali jikoni!!!!!!
 
tumelala mchana/ucku akiweka/nikimwekea mkono mahali fulani mambo yanajipa, kaja jikoni kachukua mwiko kaweka pembeni nazima jiko mambo yanaendelea, sitting room nikimkalia mambo yanaendelea...sasa cna hakika kama tunabakana au laaaa!

Kama kombolela ha ha ha
 
ndio hivyo mama mdogo, yaani ckumbuki ktk miaka 6 kama nilishawahi kuombwa, na ctaki aombe kabisa hivi hivi ndio nzuri coz na mie cmuombagi......

Duh sasa ukiwa katika zile siku za umwanamke si inakuwa kasheshe jamaa anaweza sema umetoka nje ya ndoa kwa kisingizio
 
Mimi huwa nikisikia anasema simu haina chaji ya kutosha basi nakuwa nafahamu anahitaji nini
 
wala hazijatoka karibuni zimetoka long time sana zinaitwa O.B

umenikumbusha mabali bwana tulikuwa tunaziita Outside broadcasting!!!! nina kituko kimoja kilinitokea wacha tu sitokaa nisahau.....a story for anaother day!
 
kumbe ndio maana uwa unapeleka watoto kwa bibi yao pamoja na hausi gelo kila mara ili muwe huru? mie nimeshashindwa mambo ya mchana na sebuleni maana nikiingia room tu na wifi yako kazuwanda kanakuja kugonga mlango labda ukilie timing kakiwa kamelala

Heri ya mwaka mpya Nyamayao maana utujaonana muda (Ki-JF)

watoto wapo boarding Funzadume, hizo za kitchen/sitting room 2lizicheza sana h/boy alivyoenda likizo, imagine....no kids/no kaka kunyumba, ilikuwa kufuru....sasa kwenye hali hizi cjui mnapata wapi muda wakuombana?...heri ya mwaka kwako na familia yako my broda!
 
Duh sasa ukiwa katika zile siku za umwanamke si inakuwa kasheshe jamaa anaweza sema umetoka nje ya ndoa kwa kisingizio

y aseme hivyo sweetheart?...yeye mbona kuanzia dalili za kuingia huko anazijua?...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom