unamuombaje Penzi mwenzio

watoto wapo boarding Funzadume, hizo za kitchen/sitting room 2lizicheza sana h/boy alivyoenda likizo, imagine....no kids/no kaka kunyumba, ilikuwa kufuru....sasa kwenye hali hizi cjui mnapata wapi muda wakuombana?...heri ya mwaka kwako na familia yako my broda!
Kwa nini umepeleka watoto boarding mapema yote hii jamani? mbona bado wanahitaji kumwona mwona mama au ndio mnatafuta kuwa free? sijaipenda hiyo (from my heart)
 
Hii nilitumia nilipo kuwa Simanjiro kwa Mmasai mmoja ilinisaidia nikabeba kiulainiiiiiiiiiiii

umenikumbusha mbali sana Fidel,
kuna demu wa kimasai nilitongozaga long time,
cha kushangaza akaanza kulia,
akaenda kunishtaki kwa lwaigan,
nikaambia baba kimbia utachinjwa
sasa sijui wewe ulipataje kiulaini?
 
hiyo dudu yako bado inacmama? kwann unacheza na wapendwa wa bwana...kama inacmama ujue mlokole fake huyo original icngecmama milele....lol

acha utani aunt huyu nimefukuzia miaka 3 ndo kanikubali juzi hapa nikague ile kukagua tu nikachapa usingizi na ndo nilitaka nioe si niliahidi mwaka huu naona? sasa ndo hivyo ndoa imeota mbawa
 
umenikumbusha mbali sana Fidel,
kuna demu wa kimasai nilitongozaga long time,
cha kushangaza akaanza kulia,
akaenda kunishtaki kwa lwaigan,
nikaambia baba kimbia utachinjwa
sasa sijui wewe ulipataje kiulaini?

Sasa baada ya kumpa za uso kilicho fuata nikamwambia nataka ile kitu inamesa mwenzie akanielewa haraka akasema ngoja akakate nyasi na majivu
 
]Kwa nini umepeleka watoto boarding mapema yote hii jamani?[/COLOR] mbona bado wanahitaji kumwona mwona mama au ndio mnatafuta kuwa free? sijaipenda hiyo (from my heart)

haaa pole kaka umejuaje kama ni mapema kama unavyosema?.....kaka mazingira broda broda...wawili boarding kadogo kwa bibi....
 
Mnasjua style ya kuomba ukiwa usukumani? Uchagani? Kwa wanyaru? Wanyakyusa?
 
Hahahahaaaaaaaa! Wewe bana...sasa akikuletea klorokwini akidhani malaria imepanda kichwani?
hehehe gud moning amiri jeshi! ananielewaga sana , tulichumbiana kwenye klabu ya wajamaika. yeye mwenyewe akihtaji anakuwaga na manyago yake kuliiko yangu, mimi unaweza ukaniita mtakatifu klorokwini, ukiona hayo manyago yake.
 
Huku ni gudi ivining my fellow healer.

Wangu akiona sijachomekea sarawili anajua leo muzee nataka ile staili ya mbuzi kagoma. Sisi tumefikia hatua si ya kuombana kumegana, bali kujua muzee anataka staili gani. Nikipiga ishara ya msalaba anajua staili ya kifo cha mende imewadia.
 
Zamani ilikuwa style ya kusema kwa mafumbo kama vile Quinty amemmiss mwenzake anataka kumsalimia...ikaja Dah nahamu ya kukuangalia anaelewa...ikaja ya kuchapana...ikaja style ya hamu ya kuzimia...sasa ni mwendo Wa kuambiana tu kuwa tuna nyege then tunaendelea kama kawaida
 
Huku ni gudi ivining my fellow healer.

Wangu akiona sijachomekea sarawili anajua leo muzee nataka ile staili ya mbuzi kagoma. Sisi tumefikia hatua si ya kuombana kumegana, bali kujua muzee anataka staili gani. Nikipiga ishara ya msalaba anajua staili ya kifo cha mende imewadia.
deh deh deh! dah mkuu uko level nyengine kabisa, hapa kwangu anavyoanguka ndivyo anavyochinjwa. hata hivyo majuzi tulidiscover mpya inaitwa "chura kiwete" , kaeni mkao wa kula , tutaiingiza madukani muda si mrefu.
 
haaa pole kaka umejuaje kama ni mapema kama unavyosema?.....kaka mazingira broda broda...wawili boarding kadogo kwa bibi....
anyway ila sio vizuri uwa wana learn vitu tofauti sana tuwaombee wawe kwenye mstari mnyoofu, nimejua kama mapema kwa post zako tu nimekadiria na umri wako ur young parent wale mtoto akilia mama nae analia (joke)
 
deh deh deh! dah mkuu uko level nyengine kabisa, hapa kwangu anavyoanguka ndivyo anavyochinjwa. hata hivyo majuzi tulidiscover mpya inaitwa "chura kiwete" , kaeni mkao wa kula , tutaiingiza madukani muda si mrefu.

Hahaha...we nimekustukia. Kuna siku utampiga ngwala kwa makusudi ili aanguke kifudifudi. Uchinjaji huo balaa.
Ila hiyo ya chura kiwete unatakiwa kuifanya usiku wakati Mungu kapumzika. Manake hata yeye atashangaa uumbaji wake unavyochakachuliwa lol
 
hahahaha dah hapo red hapo! nazani umeniongezea kalenda yangu ya kuishi. labda waswahili waniloge.
 
Mi nakamata tu akiangalia mzee kasimama basi anasalimu amri najua wengine mtasema nabaka
 
anyway ila sio vizuri uwa wana learn vitu tofauti sana tuwaombee wawe kwenye mstari mnyoofu, nimejua kama mapema kwa post zako tu nimekadiria na umri wako ur young parent wale mtoto akilia mama nae analia (joke)

hahaaa wacha kabisa, Funza wacha tu nisiingie undani wa hii ishu lakini nashukuru mpaka sasa tabia zinaeleweka/ridhisha kabisa.
 
Hahaha...meza asipirini mbili kwa uhakika zaidi wa idadi ya siku za kuishi
halaf kila nikijitahidi post yangu ikae juu ya post ya nyamayao sjui kwanini sifanikiwi? help mzee wa mawodi ya kuujaza ulimwengu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom