ah huyu mwanamke alikuwa halijui kuwa muuza genge sio choice yake wakati mwana anajipinda kumlipia ada!!! hawa ndio wanawake wakuwabaka na kuwa f.i.r.a
ah huyu mwanamke alikuwa halijui kuwa muuza genge sio choice yake wakati mwana anajipinda kumlipia ada!!! hawa ndio wanawake wakuwabaka na kuwa f.i.r.a
Amlipe hela zake plus interest kwa kumpotezea muda. Wanawake wengi ni wezi halafu wanauza. Fadhila mfadhili mbuzi ....
Hastahili kutolewa kafara.Inatia hasira sana wakati unasomeshwa hukuliona hilo sasa unakadiree unajifanya msomi nakusahau eti humtaki tena Muuza genge kwann hukumwambia wakati anakusomesha yaani Mwanamke kama ww ni wa kutoa kafala potelea mbali kuliko kuendelea kukuona machoni niheri mara 100 yaani ulikuwa unamtumia Muuza genge kama ngazi kukidhi yako mahitaji.
Yaani mi sikukawiziiii...
Hahahaaaa! Hili ndo jiji banaaa, tenda wema uende zako, usingoje shukrani!!!! Muuza genge kakopwa huyooo! Dawa ni kutoinvest kwa mwanamke utegemee longterm returns!!!! Dawa ni kuendelea KUDOKOA investment yako daily hata siku ikikupiga chini ushafanya depreciation of asset ya kutosha tuuu. Ukiwekeza uje ule bdae!!!!! WENZIO WANAKUJA KULA NA HAWAMBAKISHII BABA!!!!
Huyu mwanamke ana akili sana,
Apewe moyo na ushauri wa kumalizana na muuza genge...Hawa ni kama matope na maziwa....hawawezi kuishi pamoja hata kwa mtutu wa bunduki.
Wanawake wenye akili zao huwa hawadate wadogo zao au watu ambao wana hadhi ya chini yao.
Kama kuna mwanamume hajui ukweli huu basi maumivu ni halali yake!!
Babu DC!!
mimi ni msichana wa miaka 20 naishi magomeni jijini dar nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. Mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ya gari mwaka 1998, mimi waliniacha nasoma shule ya msingi. Sasa baada ya kumaliza nilifanikiwa kujiunga na sekondari nilisoma hadi form 4 nikamaliza pia nikapass mitihani yangu. Nikatakiwa kidato cha tano,kabla sijaenda shule nilibahatika kupata mchumba muuza genge na akaahidi kunisomesha kwani mimi nilikosa ada. Nashukuru mungu kanisomesha hadi chuo kikuu na nimemaliza hadi sasa nimepata kazi yangu. Siwezi kuishi na muuza genge hata siku moja kwanza hajui kuvaa akapendeza pili hana elimu.sasa je nifanyeje kumwambia ukweli kwamba mimi siwezi kuishi na yeye bila kuumiza moyo wake.
"nimeikuta mahali nikashikwa na butwaa nikashindwa kucomment .........hivi mtu kama huyu utamshauri nini!!"