Unamshauri vipi huyu mwenzetu?

Unamshauri vipi huyu mwenzetu?

teh teh teh kumbe kuna mapozi ya kila kabila? hii kali..nlitaka kusema la kinyakyusa ila nkakumbuka amevaa jeans nao wanapenda suruali kubwakubwa za kushona lolz!

Tasafali dada.........taratibu na uchangiaji wako. Huyu mdau si Muha mwenzio?
 
Back
Top Bottom