Kulingana na taarifa iliyorushwa humu JF wako watu wanajuhudi kuhakikisha Mh JPM hapati uenyekiti!!najiuliza hivi unampinga JPM ili uje uchaguliwe na nani 2020???
Mmesahau haraka hivi ??hamkumbuki kuwa CCM ilikaribia kaburi kama msingecheza mchezo mzuri kumkata EL na kumweka anayekubarika na wananchi kwa asilimia kubwa !!hivi mnafikiri ndani ya CCM kulikuwa na mtu Wa kupambana na Dr slaa au Lowassa??
Sikwamba tunataka mheshimiwa ajisifu kuwa wako watu wanamtetea lakini lazima ukweli usemwe!!Mimi nilifikiri mtakuwa nyuma ya mh JPM kuhakikisha mnakitengeneza chama maana waliyokuwa wanasumbua na kuharibu misingi ya chama wameondoka !!
Watu hawa walimsumbua hata hayati JK !!mtawaeleza nini wananchi endapo mtaendeleza ujinga Wa namna hii!!ngoja niwambieni huyu mnayemwona eti hafai kupewa uenyekiti na wapinzani wanawasupport kinafika kesho watakuja na kusema :CCM ni chama cha mafisadi ndo maana walimkataa rais mwema kama JPM!! jifunzeni ya mwaka Jana!!walisema lowassa fisadi alipohamia kwao akaonekana kuwa shetani aliyetubu!!
Tafakari chukua hatua!!