Unampeleka vp mtoto wa miaka7 boarding?

Unampeleka vp mtoto wa miaka7 boarding?

Boarding inapunguza ukaribu wa mzazi na mtoto,kwa ninayopitia mwanangu akienda boarding basi kuanzia kidato cha 3
Nyumbani kunajenga ukaribu amabao ni hatari sana kati ya house girl na mtoto. Lkn pia vichaka vya uovu vilivyo jazana mitaaani jamani hamvioni? Mitaa imejaa laana tupu, mambo na maneno ya aibu yametawala.Unaanzaje kupaona nyumbani kuwa salama kuliko shuleni kwenye msukumo wa maadili na utaalamu?
 
We umekulia wapi VP Tabia zako? Tupe uzoefu
 
Kuna umri wa kumpeleka boarding sio primary
 
Sipeleki watoto shule za bweni angalau wafike form 4. Nawapeleka mwenyewe shule asubuhi na jioni lazima niwafuate!

Watoto tumewaleta katika ratiba za maisha yetu, hawakuchagua kuwepo hapa ni vizuri tukajenga ratiba zetu kwa kuzingatia uwepo wao ndani yetu na sio wao(watoto) ndio waji -adjust kwetu, it's not fair!
 
No mzazi kukosa akili na kukimbia majukumu..wengi wao ni wapenda anasa...anaona atastarehe saa ngp huku mtt wake ni kero nyumbani
Naunga mkono hoja kwa asilimia 200. Nimeshuhudia hili kwa single mother mmoja. Kampeleka mtoto mdogo boarding school ili apate muda wa kudanga na kufanya UHUNI mwingine. SINGLE MOTHER wa zama hizi ni hatari sana katika Jamii.
 
Wazazi wako bize. Uzungu umewajaa. Hawana tyme na watoto wao.
Matokeo yake ndio vizazi vya watoto kama kina Lulu Michael na Tunda mkuu. Yaani jamii inapasuka vipande vipande kila kukicha.
 
Hizi tv zenye vipindi visivyo eleweka mara kapita shilole mara jyoti mara filamo za kimexico na kifilipino hapana bora akae boarding.

Hawa ma uncle nao kila siku wanabanjua watoto, usawa huu wa jpm mama ana komaa na mzee anakomaa kivyake munakutana home night.

Sikumoja vitoto vya jamaa yangu vilimshitakia kwake dada wa kazi kuwa alikuwa akifanya matusi na mwendesha bodaboda wa mamayao. Hii kesi unaiamuaje?
 
Sikumoja vitoto vya jamaa yangu vilimshitakia kwake dada wa kazi kuwa alikuwa akifanya vitu na mwendesha bodaboda wa mamayao. Hii kesi unaiamuaje?
 
We umekulia wapi VP Tabia zako? Tupe uzoefu
Kuna jibu langu la mwanzo kabla ya hili nilisema maisha ya leo hayawapi wazazi nafasi ya kukaa na watoto na kuwalea kama zamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom