Unampeleka vp mtoto wa miaka7 boarding?

Unampeleka vp mtoto wa miaka7 boarding?

...Mtoto wa miaka 7 si sawa aisee tena yupo primaly...angalau akiingia secondary..
 
Siyo 7 mimi nimeona mtoto wa miaka 4 akipelekwa boarding, nilipata shock!

Kwa kifupi watu wengi wanakimbilia tu kuzaa lkn ukweli ni kwamba hawana mapenzi ya dhati na hao watoto, matokeo yake tunakuwa na kizazi ambacho kimelelewa bila mapenzi ya wazazi, ndo hawa leo hii wako chadema, wanafurahia Ndege yetu kushikwa na Muzungu!
Umeanza vizuri umemalizia kijinga sana Kwani Chadema wamekufanyaje au wanahusiana vipi na malezi ya watoto? Kila kitu mnaunganisha na siasa
 
Bora mtoto akaishi shule kuliko kukaa naye nyumbani tena uswazi, kila siku anashuhudia vigodoro na singeli pia anashuhudia watu wazima wakila uroda live. Matokeo yake ni watoto kuiga tabia chafu, mfano mtoto wa kike akifikisha miaka 16 anakuwa ameshakula uroda mara nyingi zaidi ya mamake {anakuwa kamzunguka mamake mara tatu}.
Mtetezi wa ujinga
 
Utafiti uliofanywa na Sexless unit umebaini kuwa wanaongoza kupeleka watoto shule za boarding ni single parents baada ya kuingia ktk ndoa na wenza wapya.
So wenza hawataki watoto
 
Ni upumbavu mtoto kuanzia miaka 3-15 kumpeleka boarding

Tena ni ulofa mkubwa binafsi nilipokuwa A level tuliwakamata watoto wa form 1 tena vidogo mno vikilawitiana usiku chooni

Vitoto vingi vinalawitiana huko boarding

Mzazi lofa ndio atampeleka mwanaye mdogo boarding
Fact
 
Siyo 7 mimi nimeona mtoto wa miaka 4 akipelekwa boarding, nilipata shock!

Kwa kifupi watu wengi wanakimbilia tu kuzaa lkn ukweli ni kwamba hawana mapenzi ya dhati na hao watoto, matokeo yake tunakuwa na kizazi ambacho kimelelewa bila mapenzi ya wazazi, ndo hawa leo hii wako chadema, wanafurahia Ndege yetu kushikwa na Muzungu!
Chadema tena
 
Najibu heading ya thread.

Kwanza kabisa asubuhi unamwamsha, anashafisha kinywa na kuoga

Anapata kifungua kinywa anavaa uniform mnapanda gari kuelekea shuleni. Ukifika huko unamwacha na mtaonana mwisho wa term.
 
Umeanza vizuri umemalizia kijinga sana Kwani Chadema wamekufanyaje au wanahusiana vipi na malezi ya watoto? Kila kitu mnaunganisha na siasa
Wenyewe wamekuja
 
Hivi nyie mna akili kweli?
Watumishi wa umma mna mambo....
Sisi wavuvi tunalea wenyewe,miaka 0-15 mtoto lazima apate maadili umlee mwenyewe.
Ndio mda atapa mafundisho ya dini n.k
Poleni sana .
NB.Akirudi shoga uanze kulialia ...karibuni pweza na chai wakuu nimetoka beach sasa hivi.
Mafarakano ya wanandoa nayo ni sababu mojawapo.wazazi huona kuliko mtoto kushuhudia machafuko bora aende boarding
 
Hata awe nyumbani kuharibika kuko pale pale. Aina ya maisha tunayoishi sasa hayaruhusu mzazi kumlea mtoto ipasavyo. Wengi wanawaachia wasichana wa kazi ambao huishia kuwafundisha tabia mbaya.Mfano Kucheza miziki isiyofaa kwa watoto, kucheza uchi mbele ya mtoto, kumfundisha matusi na ulevi, kumsaga kama ni wa kike ama kumnyonya kama ni wa kiume. Unayajua haya?

Ndiyo maana wajanja wakapima maovu ya boarding na nyumbani wakabaini ni bora shuleni.
 
Hivi nyie mna akili kweli?
Watumishi wa umma mna mambo....
Sisi wavuvi tunalea wenyewe,miaka 0-15 mtoto lazima apate maadili umlee mwenyewe.
Ndio mda atapa mafundisho ya dini n.k
Poleni sana .
NB.Akirudi shoga uanze kulialia ...karibuni pweza na chai wakuu nimetoka beach sasa hivi.
Hujapataa mtoto badoo itakuwa wew bado ni mtoto sana...! Hivii unadhani kwa dunia ya Leoo mtaani ambako wazazi wengi wanakosa muda wa kushinda na watoto wao wanahangaika kupata kipatoo na shuleni mtoto anaishi boardin wapi kuko salama???? Au Kama kuna mwanao kawa shoga kwa kumpeleka shule ya bweni jua hiyo tabia katoka nayo HAPOO KWAKOOO...
 
Hata awe nyumbani kuharibika kuko pale pale. Aina ya maisha tunayoishi sasa hayaruhusu mzazi kumlea mtoto ipasavyo. Wengi wanawaachia wasichana wa kazi ambao huishia kuwafundisha tabia mbaya.Mfano Kucheza miziki isiyofaa kwa watoto, kucheza uchi mbele ya mtoto, kumfundisha matusi na ulevi, kumsaga kama ni wa kike ama kumnyonya kama ni wa kiume. Unayajua haya?

Ndiyo maana wajanja wakapima maovu ya boarding na nyumbani wakabaini ni bora shuleni.
Mtetezi yu hai
 
Hujapataa mtoto badoo itakuwa wew bado ni mtoto sana...! Hivii unadhani kwa dunia ya Leoo mtaani ambako wazazi wengi wanakosa muda wa kushinda na watoto wao wanahangaika kupata kipatoo na shuleni mtoto anaishi boardin wapi kuko salama???? Au Kama kuna mwanao kawa shoga kwa kumpeleka shule ya bweni jua hiyo tabia katoka nayo HAPOO KWAKOOO...
Mtetezi mwingine wa ujinga.
 
Mtetezi mwingine wa ujinga.
Mkuu Ikiriri, ni vema ukauacha wazi ubongo wako ukawa tayari kupokea vitu vipya usivyo vifahamu. Alichokisema huyu mdau ndiyo uhalisia, lkn yaelekea umeweka kufuli akilini hutaki kuukubali.
 
Boarding inapunguza ukaribu wa mzazi na mtoto,kwa ninayopitia mwanangu akienda boarding basi kuanzia kidato cha 3
 
Hujapataa mtoto badoo itakuwa wew bado ni mtoto sana...! Hivii unadhani kwa dunia ya Leoo mtaani ambako wazazi wengi wanakosa muda wa kushinda na watoto wao wanahangaika kupata kipatoo na shuleni mtoto anaishi boardin wapi kuko salama???? Au Kama kuna mwanao kawa shoga kwa kumpeleka shule ya bweni jua hiyo tabia katoka nayo HAPOO KWAKOOO...
Mi mvuvi Nina wake2 sio mtoto 28+ chief.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom