Unamkumbuka Prof. John Babtist Machunda??

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Wana JF miongoni mwa mawaziri waliokuwa katika baraza la mawaziri katika awamu ya kwanza ya Mwl.J.K. Nyerere ni Prof. John Machunda. Kwa waliokuwa wanamfahamu inasemekana alikuwa mchapa kazi ingawa akipiga ulabu huwa ana-misbehave kupitiliza!!!! Sijui kama bado yuko kwenye siasa au la!!! mwenye taarifa zake aziweke hapa!!!
 
Alishatangulia mbele ya haki muda mrefu!
 
umenikumbusha ndg,kuna mtu mzima flani miaka miwili nyuma km sikosei aliwahi kuniambia huyu prof aliishia kuwa mkokozi maeneo ya sengerema buchosa huko ndani kuna eneo linaitwa kahunda.kama ilikua kweli basi inasikitisha msomi wetu kuishia hali kama hiyo......mengi kumhusu sijui...."mkokozi"-ni mtu anaevuta nyavu(kokolo) la kuvulia samaki kando kando ya ziwa kwa ujira wa samaki wa mboga,mara nyingi watu hawa huwa na maisha duni kupitiliza.watu wa kando ya ziwa watakua wamenielewa zaidi.
 
Back
Top Bottom