Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,530
Maimuna tulipotezana mwaka 1923....pale mzizima....primary.....school...
Mimi nawakumbuka Semandili, Tecla, Leyla, Makusaro, na Maya.
Atuganile nani huyo unaemtafuta hebu niambie jina la pili huenda akawa huyu nnaemfahamu mimi ukapata mawasiliano yake.shamila ibrahimu,stela david,na atuganile tulikuwa wote kenton high school naomba mnitafute
janeth nyamuhanga and jackline nyamuhanga(twins) na fadhila shedewa tulikuwa wote st hellen's academy kama mpo humu naomba mnitafute nawamiss sana
enzi hizo vidudu mmmmh unatudanganya
Bila shaka umenipata mama...njoo PM tuyamalize...