Je, unamkumbuka David Luis wa Arsenal?

Superintendent kimura

JF-Expert Member
Feb 24, 2023
222
905
Je unamkumbuka David Luis wa Arsenal na Chelsea? Ndiye huyu, siku hizi anaichezea Flamengo ya Brazil, ana miaka 36.

Amekuwa kama Yesu wa Tongaren.

FB_IMG_1697013147290.jpg
 
Je unamkumbuka David Luis wa Arsenal na Chelsea ??Ndiye huyu,siku hizi anaichezea Flamengo ya Brazil..Ana miaka 36.

Amekuwa kama Yesu wa Tongaren

View attachment 2778574

Kijana amezeeka, nilimpenda sana Chelsea. Alivyokuwa anakaba na kutulua uwanjani, Nilipenda kumuita da luis.

Nilikuwa Shabiki mzuri wa Chelsea wakati wa drogba, Lampard, Essien.

Sitosahau mech ya Chelsea 2 VS 1 Barcelona tukiwa na kocha wetu Jose.

Sema siku hizi ziangaliaga tena Soccer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom