Uliisoma ? Na unajua kiarabu? Je ulishawahi kuishi na waarabu wakristo?MIMI NIMEWAHI KUIONA MKUU
zawadi za peponi ni nini?????Vitabu vyote vimefutwa na Quraan kwa maan
Hukumu zinazofanyiwa kazi kwa Sasa ni zile zilizokuja katika Quraan tu.
Nimesoma madrass.Yaonyesha wewe ni mshamba sana aisee hivi umesoma kweli wewe🤔
Sio mbaya, Allah kasukwa na watu, mtafute Mungu wa kweli kupitia jadi yakoKuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:
Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, kwa nini bado unajiita mwana wa Adam?
Qur’an iko wazi kuhusu jambo hili.
Allah anasema:
“Hakika mfano wa Isa mbele ya Allah ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.”
(Qur’an 3:59)
Na Allah anasema:
“Na kwa hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na kizalio cha udongo.”
(Qur’an 23:12)
Pia anasema:
“Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana nayo mwenza wake, na akaeneza kutoka kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake.”
(Qur’an 4:1)
Hivyo Qur’an inatufundisha kwamba Adam ndiye mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, na kizazi chake kikaendelea kuenea duniani.
Ndiyo maana Allah anawaita wanadamu:
“Enyi wana wa Adam!”
(Qur’an 7:26, 7:31, 7:35)
Kwa hiyo kama mtu anasema “Mimi si mwana wa Adam”, basi atuambie anatoka kwa nani.
Na kama anasema “Adam hakutengenezwa na Allah”, basi swali linakuwa:
Adam alitoka wapi? Nani aliyemleta kuwepo?
Na kama mtu anazungumzia evolution, tusipotoshe mjadala kwa kusema “sayansi inasema mwanadamu alitokana na nyani wa leo.” Evolutionary biology huzungumzia common ancestry, si kwamba mwanadamu wa leo alitokana moja kwa moja na sokwe wa leo.
Lakini swali letu kwa mtazamo wa Qur’an linabaki:
Mwanadamu wa kwanza ni nani, na nani aliyemuumba?
Qur’an inatoa jibu:
Adam — ameumbwa na Allah.
Allah ndiye Muumba, Adam ndiye baba wa mwanadamu, na sisi ni Bani Adam — wana wa Adam.
Sasa mwenye kupinga haya aje na ushahidi wake.
Sisi ni vichaa sana, Ile biashara inawaingizia mabilionAlla ni Muhammad ila waarabu wajanja Kila mwaka wanapokea tzaidi ya trion 200 kwa ajili ya hija maafrica majinga mjinga yanaenda kubusu jiwe ila sijui nani katuloga
katika muendelezo wa maswali yako, ondoa idea ya kiarabu weka kifaransa,Uliisoma ? Na unajua kiarabu? Je ulishawahi kuishi na waarabu wakristo?
hujaelewa idea ya aliyekuuliza swali au umeamua kujizima data ?Hivi usikii Kila siku wakitetea haki za bina Adamu au wewe unaishi Dunia gani?
Upo ssahihikatika muendelezo wa maswali yako, ondoa idea ya kiarabu weka kifaransa,
kama ambavyo siwezi kusoma kifaransa ndivyo ambavyo siwezi kusoma kiarabu.
Halikadhalika sijawahi kuishi na waarabu kwa ujumla wao(si waislamu wala wakristo)
UsharukaIfundishe Ai yako iwe na akili, ulishawahi kuona biblia ya kiarabu kwanza?
Bin Inamaanisha mwana wa .. . KiarabuMnakwepa hoja iliyopo mezani mnaleta vijembe bila aibu😄
Tatizo ni ALLAH WA MUDI BOYKuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:
Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, kwa nini bado unajiita mwana wa Adam?
Qur’an iko wazi kuhusu jambo hili.
Allah anasema:
“Hakika mfano wa Isa mbele ya Allah ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.”
(Qur’an 3:59)
Na Allah anasema:
“Na kwa hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na kizalio cha udongo.”
(Qur’an 23:12)
Pia anasema:
“Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana nayo mwenza wake, na akaeneza kutoka kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake.”
(Qur’an 4:1)
Hivyo Qur’an inatufundisha kwamba Adam ndiye mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, na kizazi chake kikaendelea kuenea duniani.
Ndiyo maana Allah anawaita wanadamu:
“Enyi wana wa Adam!”
(Qur’an 7:26, 7:31, 7:35)
Kwa hiyo kama mtu anasema “Mimi si mwana wa Adam”, basi atuambie anatoka kwa nani.
Na kama anasema “Adam hakutengenezwa na Allah”, basi swali linakuwa:
Adam alitoka wapi? Nani aliyemleta kuwepo?
Na kama mtu anazungumzia evolution, tusipotoshe mjadala kwa kusema “sayansi inasema mwanadamu alitokana na nyani wa leo.” Evolutionary biology huzungumzia common ancestry, si kwamba mwanadamu wa leo alitokana moja kwa moja na sokwe wa leo.
Lakini swali letu kwa mtazamo wa Qur’an linabaki:
Mwanadamu wa kwanza ni nani, na nani aliyemuumba?
Qur’an inatoa jibu:
Adam — ameumbwa na Allah.
Allah ndiye Muumba, Adam ndiye baba wa mwanadamu, na sisi ni Bani Adam — wana wa Adam.
Sasa mwenye kupinga haya aje na ushahidi wake.
Imani si bora kuliko dini wala dini si bora kuliko imani bali haki ndiyo bora kuliko dini na imaniIMANI ni Bora kiliko Dini
Unitoe kwenye imani za ki Mungu siamini Mungu yoyote , nikutoe ujinga wa hiyo Ai yako , waarabu wakristo wanamwita Mungu wao Allah , neno in sha Allah hutumiwa na waarabu wa dini mbalimbali ikiwemo na wakristo tembea uone .Usharuka
Mimi ninayo nyumbani Biblia iliyoandikwa kwa Lugha ya Kiarabu na naijua lugha ya Kiarabu
Allah ni Jina la Mungu wa Qurani?
Kwa lugha ya Kiarabu Neno Mungu linatamkwa il-lah;
illah:
Hata kiapo chako hukijui kinasemaje
Hakuna Mungu ila Allah
ni sawa na kusema
Hakuna Mungu ila Mungu ?
Mungu yupi ?
Hata Jina la Mungu wako hulijui mkiulizwa mnataja sifa 99:
Al-hakim
Al-Rahman
Ar-Nur nk.
Hizo ni sifa (Adjectives) na sio Majina (Nouns)
Mi nitumie Ai kukujibu kwani sijaenda Shule?Unitoe kwenye imani za ki Mungu siamini Mungu yoyote , nikutoe ujinga wa hiyo Ai yako , waarabu wakristo wanamwita Mungu wao Allah , neno in sha Allah hutumiwa na waarabu wa dini mbalimbali ikiwemo na wakristo tembea uone .
Pia ifundishe Ai yako kuwa na akili ya universal sio uishikie akili .
Mi nitumie Ai kukujibu kwani sijaenda Shule?
Kama mada huna uelewa nayo ni Bora unyamaze
kijana:
Waachie wenye ujuzi nayo:
Mkuu binadamu tuna uwezo mkubwa sana wa kufanya jambo lolote,Walioasisi haya magereza ya kifikra walitumia akili mingi sana.
Kwa msaada wa Google
Nilitamani utoe mawazo yako nje ya Quran kutuambia uhalisia wa Allah .Kuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:
Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, kwa nini bado unajiita mwana wa Adam?
Qur’an iko wazi kuhusu jambo hili.
Allah anasema:
“Hakika mfano wa Isa mbele ya Allah ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.”
(Qur’an 3:59)
Na Allah anasema:
“Na kwa hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na kizalio cha udongo.”
(Qur’an 23:12)
Pia anasema:
“Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana nayo mwenza wake, na akaeneza kutoka kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake.”
(Qur’an 4:1)
Hivyo Qur’an inatufundisha kwamba Adam ndiye mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, na kizazi chake kikaendelea kuenea duniani.
Ndiyo maana Allah anawaita wanadamu:
“Enyi wana wa Adam!”
(Qur’an 7:26, 7:31, 7:35)
Kwa hiyo kama mtu anasema “Mimi si mwana wa Adam”, basi atuambie anatoka kwa nani.
Na kama anasema “Adam hakutengenezwa na Allah”, basi swali linakuwa:
Adam alitoka wapi? Nani aliyemleta kuwepo?
Na kama mtu anazungumzia evolution, tusipotoshe mjadala kwa kusema “sayansi inasema mwanadamu alitokana na nyani wa leo.” Evolutionary biology huzungumzia common ancestry, si kwamba mwanadamu wa leo alitokana moja kwa moja na sokwe wa leo.
Lakini swali letu kwa mtazamo wa Qur’an linabaki:
Mwanadamu wa kwanza ni nani, na nani aliyemuumba?
Qur’an inatoa jibu:
Adam — ameumbwa na Allah.
Allah ndiye Muumba, Adam ndiye baba wa mwanadamu, na sisi ni Bani Adam — wana wa Adam.
Sasa mwenye kupinga haya aje na ushahidi wake.
Ningekua karibu ningekufungulia biblia ya kiarabu usome kabisa, Ifunde Ai yako kuwa na akili timamuMi nitumie Ai kukujibu kwani sijaenda Shule?