Unamkana Allah, lakini unajiita Mwana Adam?

Jina la Allah ni Gani ?
Allah anaitwaje ?
iulize Google Tena
Umeelewa ?
Screenshot_2026-08-15_130159.jpg
 
Allah Jina lake ni nani
Miungu Iko mingi sana
Mungu ambaye sawa na Allah
anaitwaje?
Naongelea biblia ya kiarabu ilivyoandika neno Mungu , hayo mengine waulize wanaoabudu haya mambo
 
Kuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:

Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, kwa nini bado unajiita mwana wa Adam?

Qur’an iko wazi kuhusu jambo hili.
Allah anasema:
“Hakika mfano wa Isa mbele ya Allah ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.”
(Qur’an 3:59)

Na Allah anasema:
“Na kwa hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na kizalio cha udongo.”
(Qur’an 23:12)

Pia anasema:
“Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana nayo mwenza wake, na akaeneza kutoka kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake.”
(Qur’an 4:1)

Hivyo Qur’an inatufundisha kwamba Adam ndiye mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, na kizazi chake kikaendelea kuenea duniani.
Ndiyo maana Allah anawaita wanadamu:
“Enyi wana wa Adam!”
(Qur’an 7:26, 7:31, 7:35)

Kwa hiyo kama mtu anasema “Mimi si mwana wa Adam”, basi atuambie anatoka kwa nani.
Na kama anasema “Adam hakutengenezwa na Allah”, basi swali linakuwa:
Adam alitoka wapi? Nani aliyemleta kuwepo?

Na kama mtu anazungumzia evolution, tusipotoshe mjadala kwa kusema “sayansi inasema mwanadamu alitokana na nyani wa leo.” Evolutionary biology huzungumzia common ancestry, si kwamba mwanadamu wa leo alitokana moja kwa moja na sokwe wa leo.

Lakini swali letu kwa mtazamo wa Qur’an linabaki:
Mwanadamu wa kwanza ni nani, na nani aliyemuumba?

Qur’an inatoa jibu:
Adam — ameumbwa na Allah.
Allah ndiye Muumba, Adam ndiye baba wa mwanadamu, na sisi ni Bani Adam — wana wa Adam.
Sasa mwenye kupinga haya aje na ushahidi wake.
Wewe hadi leo bado hujajua kuwa Allah ndiyo Shetani mwenyewe! Na maandiko yenu yenyewe yanathibitisha hilo. Inaelekea wewe bado haujaielewa Quran!
 
Wewe unaleta mada, ukiulizwa unakimbilia Google au wajibu wengine:
Kama ulivyosema hujui mambo ya Mungu basi waachie wengine hizo mada
Sio za saizi yako:
 
Usinipangie namna ya kuandika , kazi yangu ya kuonyesha neno Allah lipo kwenye biblia ya kiarabu kwa wakristo waarabu imekwisha , ungebahatika kutembea hata nchi moja ya kiarabu wala nisikufikisha Google
 
Where is nothing come from?
Kbla hatujajadili ulimwengu ulipotoka, rekebisha kwanza Kiingereza chako. Unasema where is nothing come from? Ndio lugha gani hiyo?

Kingereza sahihi ni where does nothing come from? au where did everything come from if there was nothing?

Yaani hata grammar ya kuuliza swali imekupiga chenga, ndio utaweza kuelewa elimu ya uumbaji?
 
Usinipangie namna ya kuandika , kazi yangu ya kuonyesha neno Allah lipo kwenye biblia ya kiarabu kwa wakristo waarabu imekwisha , ungebahatika kutembea hata nchi moja ya kiarabu wala nisikufikisha Google
Umejuaje kama sijawahi fika Uarabuni ?
Kitu usicho kijuwa ni sawa na usiku wa giza Totoro:
Agiza soda unywe nitalipa
 
Tatizo ni ALLAH WA MUDI BOY ..HUYO NI FEKI KWA ASILIMIA 100%
Dunia imebadilika acha kuleta dharau ambazo hazikusaidii. ! Kuna magwiji wengi sana walishamdharau mtume Muhammad lakin wala hakuna walichopata zaidi ya hasara je utakuwa ww mwenye maisha ya kawaida ?? Mtu ambae umepewa tu sumu ya kumdharau kiumbe bora Kuwai kuumbwa katika dunia hii

Tumia akili usitumie chuki katika kumsoma mtukufu wa daraja mtume Muhammad swallahullah alaih wasalam.

Kijana kuwa na adamu acha bangi na ngono zembe
 
Umejuaje kama sijawahi fika Uarabuni ?
Kitu usicho kijuwa ni sawa na usiku wa giza Totoro:
Agiza soda unywe nitalipa
Ujinga wako wakutojua wakristo waarabu wanatumia neno Allah , kwenye biblia zao na kwenye mataamshi ya maisha ya kila siku , ila pia sio mbaya ni elimu tu kwa faida ya members.

Situmii soda nakunywa vodka
 
Mimi wapi nimewataja Wakristo na Waarabu ?
Lete hapo nilipowataja nipaone
Wewe ni Mdini
Wadini wengi hawajitambui;
Mimi ni Mwarabu Mkristo:
 
Ujinga wako wakutojua wakristo waarabu wanatumia neno Allah , kwenye biblia zao na kwenye mataamshi ya maisha ya kila siku , ila pia sio mbaya ni elimu tu kwa faida ya members.

Situmii soda nakunywa vodka
Kunywa pombe zilizopikwa kwa Afya yako:
Vodca ni sawa na Gongo utaharibu viungo vya ndani ya mwili kama Figo, Ini, Bandama, Moyo nk.
Kunywa Safari laga kwa Afya
Safari moja unatakiwa uinywe kwa lisaa limoja na sio kubugia nyingi kwa wakati mchache:
Na uwe ushapiga Supu au Nyamachoma hasa ya ka Nguruwe kana Mafuta mengi
Ukiwa na njaa usinywe pombe zitakudhuru
According to Dr. Janabi
 
Mkuu binadamu tuna uwezo mkubwa sana wa kufanya jambo lolote,
Haya magereza yaliundwa na watu wenye akili nyingi kweli ili kufanya tusimjue Mungu
Binadamu uwezo tulio nao ndio nguvu yenyewe ambayo wanaita mungu ila hakuna ambaye ataambiwa ukweli sababu kweli itamuweka kila mtu huru
Ni kweli kabisa, maana ujinga wetu ndiyo mtaji wao kutawala fikra zetu. Na ikionekana umeamka na kuanza kuamsha wengine kutoka utumwani maisha yako yanakuwa hatarini
 
Wewe hadi leo bado hujajua kuwa Allah ndiyo Shetani mwenyewe! Na maandiko yenu yenyewe yanathibitisha hilo. Inaelekea wewe bado haujaielewa Quran!
Kwahiyo ndo umejibu hoja?
 
Kunywa pombe zilizopikwa kwa Afya yako:
Vodca ni sawa na Gongo utaharibu viungo vya ndani ya mwili kama Figo, Ini, Bandama, Moyo nk.
Kunywa Safari laga kwa Afya
Safari moja unatakiwa uinywe kwa lisaa limoja na sio kubugia nyingi kwa wakati mchache:
Na uwe ushapiga Supu au Nyamachoma hasa ya ka Nguruwe kana Mafuta mengi
Ukiwa na njaa usinywe pombe zitakudhuru
According to Dr. Janabi
Safi, kumbe una akili mingi hivi, hapa nishakunywa pombe za dollars 243 na bado nakunywa
 
Kuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:

Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, kwa nini bado unajiita mwana wa Adam?

Qur’an iko wazi kuhusu jambo hili.
Allah anasema:
“Hakika mfano wa Isa mbele ya Allah ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.”
(Qur’an 3:59)

Na Allah anasema:
“Na kwa hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na kizalio cha udongo.”
(Qur’an 23:12)

Pia anasema:
“Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana nayo mwenza wake, na akaeneza kutoka kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake.”
(Qur’an 4:1)

Hivyo Qur’an inatufundisha kwamba Adam ndiye mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, na kizazi chake kikaendelea kuenea duniani.
Ndiyo maana Allah anawaita wanadamu:
“Enyi wana wa Adam!”
(Qur’an 7:26, 7:31, 7:35)

Kwa hiyo kama mtu anasema “Mimi si mwana wa Adam”, basi atuambie anatoka kwa nani.
Na kama anasema “Adam hakutengenezwa na Allah”, basi swali linakuwa:
Adam alitoka wapi? Nani aliyemleta kuwepo?

Na kama mtu anazungumzia evolution, tusipotoshe mjadala kwa kusema “sayansi inasema mwanadamu alitokana na nyani wa leo.” Evolutionary biology huzungumzia common ancestry, si kwamba mwanadamu wa leo alitokana moja kwa moja na sokwe wa leo.

Lakini swali letu kwa mtazamo wa Qur’an linabaki:
Mwanadamu wa kwanza ni nani, na nani aliyemuumba?

Qur’an inatoa jibu:
Adam — ameumbwa na Allah.
Allah ndiye Muumba, Adam ndiye baba wa mwanadamu, na sisi ni Bani Adam — wana wa Adam.
Sasa mwenye kupinga haya aje na ushahidi wake.
Allah ni Ibilisi Joka Kuu
 
Back
Top Bottom