Unamkana Allah, lakini unajiita Mwana Adam?

Unamkana Allah, lakini unajiita Mwana Adam?

Bible pia inafundisha mtu wa kwanza ni Adam na aliyemuumba ni Yehova.

Kwa hiyo kuwa mwana Adam sio lazima kumkubali shetani Allah.
 
Tukisema sisi ni watu badala ya binadamu tutakuwa tumetatua tatizo la kutokuwepo Allah?
 
Wakristo wa uarabu na ndani ya biblia yao jina Allah limeandikwa kama lilivyo, hiyo ni lugha tu , kama wachaga kusema ruwa kwa maana ya Mungu
Wacha Taqqiya
There is no God but Allah
hapo ni sawa nimesema
There is no God but God?
Kwa Kiarabu Mungu anaitwa il-lah = illah
La illah ila Allah = Hakuna Mungu isipokuwa Allah
Biblia ya Kiarabu Haina Jina la Allah: Ina Jina la illah likimaanisha Mungu;
Tushawashitukia na Taqqiya zenu labda mkawaongopee wajinga wenzenu;
Allah ni Jina, yaani Allah wa Qurani na alikuwepo kabla ya Muhamadi akiabudiwa na Wakureshi Wapagani akiwepo Babu yake Muhamadi, AbdAllah yaani Mtumwa wa Allah;
Alikuwa na watoto wakike watatu Akina Al-Latta soma Sura ya Najim utawakuta humo:
Mkawaongopee Wagagagigikoko wa Madina
 
Kuna swali ningependa kila anayesema “Simwamini Allah” au anayekanusha kwamba Allah ndiye Muumba wa mwanadamu alijibu:

Kama Allah si Muumba wako, nani aliyekuumba? Na kama humkubali Adam kuwa mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, kwa nini bado unajiita mwana wa Adam?

Qur’an iko wazi kuhusu jambo hili.
Allah anasema:
“Hakika mfano wa Isa mbele ya Allah ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.”
(Qur’an 3:59)

Na Allah anasema:
“Na kwa hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na kizalio cha udongo.”
(Qur’an 23:12)

Pia anasema:
“Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana nayo mwenza wake, na akaeneza kutoka kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake.”
(Qur’an 4:1)

Hivyo Qur’an inatufundisha kwamba Adam ndiye mwanzo wa kizazi cha mwanadamu, na kizazi chake kikaendelea kuenea duniani.
Ndiyo maana Allah anawaita wanadamu:
“Enyi wana wa Adam!”
(Qur’an 7:26, 7:31, 7:35)

Kwa hiyo kama mtu anasema “Mimi si mwana wa Adam”, basi atuambie anatoka kwa nani.
Na kama anasema “Adam hakutengenezwa na Allah”, basi swali linakuwa:
Adam alitoka wapi? Nani aliyemleta kuwepo?

Na kama mtu anazungumzia evolution, tusipotoshe mjadala kwa kusema “sayansi inasema mwanadamu alitokana na nyani wa leo.” Evolutionary biology huzungumzia common ancestry, si kwamba mwanadamu wa leo alitokana moja kwa moja na sokwe wa leo.

Lakini swali letu kwa mtazamo wa Qur’an linabaki:
Mwanadamu wa kwanza ni nani, na nani aliyemuumba?

Qur’an inatoa jibu:
Adam — ameumbwa na Allah.
Allah ndiye Muumba, Adam ndiye baba wa mwanadamu, na sisi ni Bani Adam — wana wa Adam.
Sasa mwenye kupinga haya aje na ushahidi wake.
kURANI NAYO IMEIBA SANA MASIMULIZI YA KWENYE VITABU VYA WAISRAEL.
 
ALLAH MPUMBAVU SANA,
AMESHINDWA KUVILINDA VITABU VYAKE MWENYEWE.
TORATI.
INJILI.
ZABURI.
Vitabu vyote vimefutwa na Quraan kwa maan
Hukumu zinazofanyiwa kazi kwa Sasa ni zile zilizokuja katika Quraan tu.
 
Alla ni Muhammad ila waarabu wajanja Kila mwaka wanapokea tzaidi ya trion 200 kwa ajili ya hija maafrica majinga mjinga yanaenda kubusu jiwe ila sijui nani katuloga
WANAOKWENDA HIJA UARABUNI HAWANA TOFAUTI NA WANAOKWENDA KWA BWANA MWAMPOSA KUTOKA MIKOANI.
 
Wacha Taqqiya
There is no God but Allah
hapo ni sawa nimesema
There is no God but God?
Kwa Kiarabu Mungu anaitwa il-lah = illah
La illah ila Allah = Hakuna Mungu isipokuwa Allah
Biblia ya Kiarabu Haina Jina la Allah: Ina Jina la illah likimaanisha Mungu;
Tushawashitukia na Taqqiya zenu labda mkawaongopee wajinga wenzenu;
Allah ni Mungu yaani illah wa Qurani na alikupepo kabla ya Muhamadi akiabudiwa na Wakureshi Wapagani akiwepo Babu yake Muhamadi;
Alikuwa na watoto wakike watatu Akina Al-Latta soma Sura ya Najim utawakuta humo:
Mkawaongopee Wagagagigikoko wa Madina
Ifundishe Ai yako iwe na akili, ulishawahi kuona biblia ya kiarabu kwanza?
 
Back
Top Bottom