Unamjua Mrithi wa Ananilea Nkya?

The Pen

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
755
256
valerie_msoka.gif

Valerie Msoka (kushoto). Ataiweza kazi ya mtangulizi wake chini ya chokochoko za katibu muhutasi wake, Bahati Mhaville?!
 
Unafikiri kila mtu anafuatilia yanayotokea mabibo?
Ananilea Nkya amejishushia sana heshima kwa matendo yake ya hivi karibuni!!!
 
good-riddance. Its time for TAMWA to redifine itself and come to terms with its core functions and purpose, among which, to promote and safeguard the welfare of female journalists. Its a heavy burden but You have my trust Valerie!
 
i thought TAMWA ni chama cha wanaharakati wa kike kumbe ni cha waandishi wa habari wa kike!!! :majani7:
 
Hope the pen ni 'the pencil' kwa namna anavyoandika. Unatafuta miguu, tumbo na kichwa cha anayosema hupati! Pasco hebu msaidie namna ya kushika pen ili mwandiko usomeke. Yawezekana mawazo yake ni mema sana lakini namna ya kuyawasilisha ndiyo issue
 
Huoni kwamba kuomba kwako msaada kunadhihirisha udhaifu wako? Kwanini usifanye hivyo wewe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom