Unamiliki nini katika Umri huu?

Wanasema kupata ni majaliwa ya Mola; kwamba MUNGU anakupa uwezo wa kuona fursa kuliko wenzako hata kama mpo level moja ya elimu mwenzio anafanikiwa wewe hakuna kabisa. Hili nakubaliana nalo; unakuta mtu ananusa 50 lakini kikubwa alichonacho ni mke na watoto 3 wanaosoma kayumba ; vikolokolo vya ndani vilivyomo kwenye nyumba ya kupanga ya vyumba 2 na sebure pia kiwanja kule kongowe hakina hata msingi.

Tusichekane; ila ni kweli unapokwenda uzeeni hata dalili za kulala kwako kajumba ka walau 120m hivi ka kisasa inakuwa ndoto - hapo ni tatizo - utawaacha watoto kwenye shida; pamoja na elimu bora unayowapa ni lazima uwaachie pa kuanzia ulipoishia wewe; miaka ijayo itakuwa 10 times ya ugumu wa maisha wa sasa. Kumwacha mtoto wako aanzie moja hutakuwa umemtendea haki.

Maisha ni kupeana vijiti; yaani mtoto anaanzia ulipoishia wewe; huu mfumo ni mzuri sana ndiyo maana wenzetu waarabu na wahindi wanafaidika sana na mfumo huu; unakuta mtu ana 45 ni billionea; unajiuliza kamaliza shule lini? Lini kaanza kupanga; lini kaanza kujenga; lini kaoa; lini kaamza kuwekeza miradi hadi at that age awe billionea. Vijiti.
 
Miaka 25-40 unakaa kwenu huta hata godoro halaf unajichetua kuwa unataka mahusiano na mtu chefuuuuuuuuu kwa bbc haina dili, mambo yote abroad mambo ya usd shilling peleka gengeni huko
Bora anayekaa kwao kuliko anayeenda huko abroad kumwagwa mavi"kukonkiwa" ili upate hizo USD.
 
Mimi mwamume umri 35,Namiliki wake wawili watoto wanne,vitanda 5 na godoro zake Sina nyumba sina gari sina kiwanja,sina kazi,sina pesa Natunzwa tu na wake zangu.Kwa sasa hivi natafuta mke wa tatu awe na miaka 30 anayejiweza.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi namiliki reli ya standard gauge na treni yake!
 
Mkuu unamiliki nyege!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…