Unamiliki nini katika Umri huu?

Kuku
Baiskeli
Tv
Sofa moja
Chumba cha kupanga
Laptop
Printer
Watoto 6
Mke 1
Wazazi wenzangu 2


"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
29,vyote ulivyotaja and more nadhan faida ya kuingia ndoan mapema mwenzi mzuri anakufunga speed governor
 
Teh teh we jamaa sio ahaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namiliki Jahazi la uvuvi wake watatu nyumba moja Mbweni Njia panda ya ulaya pia namiliki busha lenye kilo 13 na bendera ya TANU pia na Ungo wa kurukia usiku na shamba la minaziView attachment 1410571

Sent using Jamii Forums mobile app
me ni tajiri kumbe nina watoto watatu
nina viwanja vitatu Moshi Lushoto na Mkuranga nina fanya biashara ya pooltable, samaki na pikipiki(bodaboda)

kwa siku naingiza si chini ya 50

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mwamba kiboko una roho nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
22 years old namiliki hp laptop pressario CQ56,kitanda na godoro 5*6 jiko la gesi mtungi wa kg 29.5 taifa gesi, simu smart 4g, sabufa kubwa sea peano,kabati la nguo, music,movies libraly and stationaries, samsung full hd flatscreen with 32 inches, big and muscular body special for cute girls
 
Mimi mwamume umri 35,Namiliki wake wawili watoto wanne,vitanda 5 na godoro zake Sina nyumba sina gari sina kiwanja,sina kazi,sina pesa Natunzwa tu na wake zangu.Kwa sasa hivi natafuta mke wa tatu awe na miaka 30 anayejiweza.
Hahaaa
 
Hahaaa
 
Dash....Nina 78yrs...jobless...jinzi 2...tisheti 4 ...madem 6 wa JF...niwataje?...naishi kwa shemeji ..[emoji2960]
 
Umri wangu ni miaka 40..
Namiliki baiskeli moja aina ya swala,
Kichwa cha cherehani cha singer,
Stuli 3 na ngoma kubwa za ngozi,,
Kitanda cha kasuku 4/6,
Godoro na mito 2 ya Sufi..
Maua ya plastic 3,
Feni moja Philips,,
Radio aina ya Sanyo,
Pasi ya mkaa,,
Jiko la stove,
Taa ya kandili,,
Kabati la vyombo ,,droo zake zipo juu pembeni lina nyavu..
Kombe kubwa la bati,,
Ndoo 3 za bati,,
Kandambili za mgogo pair 1..
 
Nina miaka 23 mwakani hapo mwezi february natimiza 24....Ni kijana mtanashati (Me) ambaye kiasi kikubwa cha fedha za kujipa huo umaridadi nategemea kwenye kubet[emoji26],sina kazi,sina demu ,sina mke,sina maisha nayasikia tu kwa wenzangu kikubwa namiliki smartphone used (Tecno Pouvoir 2),saa ya shillingi elfu 3,nguo kibao sijui thamani yake inafikia shillingi ngapi,pia namiliki vitabu na mapamphlets ambayo niliyanunua mwenyewe kwa pesa zangu za kubet kipindi nasoma [emoji17].....Now nasubiri tu matokeo ya kidato cha sita angalau niongeze kumiliki cheti kingine ukiachana na hivi ninavyomiliki (cheti cha kuzaliwa na cha form four[emoji26])


Juzi kati nilikuwa namiliki elfu 5 tigopesa nimewalipa RITA waverify cheti changu till now sijarudishiwa majibu(Huenda nikamiliki na cheti cha kuzaliwa ambacho kipo verified na RITA kwa pesa niliyolipia mimi mwenyewe).

Ningependa kumiliki pesa nyingi,uhai usio na kikomo pamoja na mvuto katika kila aspect ya maisha haya[emoji41]


Note: Nahitaji kuomba mkopo pale Helsb ila sina 30k mwenye ako na franga kunisaidia akuje PM....Naishi maisha ya kipato cha chini ila sijasajiliwa kwenye mfuko wa TASAF[emoji45]
 
Nina miaka 30 namiliki Nyumba tatu...Magari ya mizigo 10 na Gari binafsi mbili moja ya wife[emoji1][emoji1][emoji1] vipi inatosha au nieongeze vingine kambuyaya mimi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…