Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

Ninalo na niko mjini. kulima eneo kubwa sio kupata mavuno mengi. nafanya smart farming.
 
Jamani mbona mie hawajaja kunihesabu??
Nisije nikakosa mgao [emoji134]
 
Wakati wenzetu wanazungumzia mapinduzi ya viwanda awamu ya 5 (5IR Wala si 4IR) sisi tunaulizana umiliki wa jembe la mkono?!
Utaondakaje ktk jembe la mkono kama huna takwimu za wanaotumia jembe la mkono kwa nchi nzima? #Tunadhani hilo swali halina mantiki kumbe hoja zetu mitandaoni ndizo hazina mantiki.🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…