Yaa ni kweli kama kanda ya kaskazini kila sehemu wakoNafikiri mkuu umewafananisha na Meerkat maana hawa ndio wapo wengi sana kwetu
Ila hawa squirrels wanaishi kwenye nchi za baridi zaidi View attachment 1262214
Hawa siyo nguchiro, nguchiro huishi kwa makundi makubwa na hawana uwezo wa kupanda kwenye miti,Wanaitwa Nguchiro. Usukumani wapo wengi sana. Pia niliwahi kuwaona Longido, Arusha
Hawa siyo vicheche,Good njoo uchukue vocha nilikua nasubiri mtu kama wewe
Hao sio nguchiro. Nguchiro hana mkia mnene. Kuna tofauti kati ya squiral na mongoose.Wanaitwa Nguchiro. Usukumani wapo wengi sana. Pia niliwahi kuwaona Longido, Arusha
Hao sio nguchiro. Nguchiro hana mkia mnene. Kuna tofauti kati ya squiral na mongoose.
Wee ndo umepotea mazimaSimbilisi hao
Huyu ndio nguchiro(mongoose).Hao sio nguchiro. Nguchiro hana mkia mnene. Kuna tofauti kati ya squiral na mongoose.
Sio kweli mkuu kilimanjaro hawa viumbe wamejaa na wanajulukana kwa jina la "kichakoro" ni waoga na mara wahisipo hatari hunyanyua mkia kwa mshutuko ili kutoa taarifa kwa menzie alie karibu, mara nyingi walapo hua wanasimamia miguu ya nyuma na kushika anachotaka kula kwa miguu ya mbile bila shaka atakua na vidole vya kushika.Nafikiri mkuu umewafananisha na Meerkat maana hawa ndio wapo wengi sana kwetu
Ila hawa squirrels wanaishi kwenye nchi za baridi zaidi View attachment 1262214
Yaa ni kweli kama kanda ya kaskazini kila sehemu wako
Sio kweli mkuu kilimanjaro hawa viumbe wamejaa na wanajulukana kwa jina la "kichakoro" ni waoga na mara wahisipo hatari hunyanyua mkia kwa mshutuko ili kutoa taarifa kwa menzie alie karibu, mara nyingi walapo hua wanasimamia miguu ya nyuma na kushika anachotaka kula kwa miguu ya mbile bila shaka atakua na vidole vya kushika.
Sio kilochindi hawa a.k.a nguchiroKwa kiswahili wanaitwaje ?
Ni Skunk au Honey BadgerHujafananisha na Skunk mkuu
Mwanza ni wengi sana hao ndege, hasa Mirongo na Thaqaafa kwenye yale majaruba kama bado yapo, hata ukingo wa mto Kenge pia wapo.Hhaahahaha...nimewah sikia hilo jina mama analitajaš¤£š¤£š¤£
Simbilisi au Pimbi, unamjua wewe!?Simbilisi hao
Sio Fuko hao faza, Fuko ni Panya typical ila wanatofautiana kwenye ukubwa wa meno ya mbele tu na mbio na nguvu.Fuko hao
VichecheKwa kiswahili wanaitwaje ?
Wapo kibaoNimewaona nchi za nordic ila Tanzania sijawahi kuwaona
Kimela nzoka