Unamfahamu DCI Manumba wewe?

Namkumbuka walivyomuogopa. Niliswekwa ndani kwa maagizo ya ndugu yake miaka ya 97 . Simsahau nilikaa o/bay wiki moja .ila namshukuru dr lamwai alinisaidia kesi ikaenda mahakamani ,ambako mpaka kesi inafutwa hawakuwahi kufika.any way kama bado hajakata kamba ni bora wangemuwahisha india kama ilivyo ada.
 
Ina maana kaingia kwenye kumi na nane za watu?
 
mungu mkubwa anaweza kukuchukua ww yeye akabaki
 
Kwa nini JK ANAWASIWASI SANA NA MANUMBA? KWA NINI ANAENDA KUMTEMBELEA JUNIOR OFFICIAL HOSPITALI KILA SIKU? MANUMBA ANAJUA NINI AU HUFANYA KAZI GANI KWA MZEE? ANGEKUWA DR. BILLAL ANGEENDA MARA NYINGI HIVYO? BADO SIJAPATA MAJIBU...KUNANI?
 
Si busara, wala si utu, kufurahia kifo au ugonjwa wa mtu. Awe mbaya awe mzuri, kifo au kuugua kila mtu hupitia, NA WOTE TUTAPITA.
 
Tunakutakia uugue pole kamanda, Mungu yupo nawe.
 
Aga Khan = MNH?? kweli hawa viongozi wetu wamepotoka! au wanaogopa kivuli chao wenyewe? usimuombea mwanzako afe! akipona sasa hivi atakuwa mtu mwingine safi! atajua kwamba ipo siku!

Yuko Agakhan, wanaogopa kumpeleka Muhimbili, wanahofia kivuli cha Dr. Stephen Ulimboka! Mtendwa hutendwa! :flock:
 
Duh! Kwakweli taifa lilipo fikia ni pabaya sana, yani mpaka tuna ombeana kufa? Duh! Hiikali, hebu pata pc angekua ni babaako hata kama angekua muuaji kiasi gani usinge furahi na post hii. Tuache maskhara kwenye mambo ya kweli

Wala sio Taifa. Huyu ndo anademonstrate tabia ya kweli ya mtz. Huenda katika nchi ninazozijua, watz ndo tunaongoza kwa roho mbaya. Huyu anathibitisha hilo.
 
stupidiest post/thread of the past 24 months

unachekelea roho za watu kwa mtaji wa kipumbavu??

remember law ya KARMA!!!!

What if one does not believe in KARMA..!?? can it be applicable. Na vipi kama the same KARMA is acting upon Robert!!?
 
Jamani haya maisha hujafa hujaumbika,dah binadamu wa siku hz,
 

Yakiwafika ndiyo mnakumbuka utu eti?
 
ionee huruma hata familia yake aki...tusilipe baya kwa baya ,muache Mungu ahukumu

Mkuu familia zetu hawazionei huruma,Kwa nini na wao wasimwachie Mungu?Sasa hivi hakuna tofauti ya Jambazi na askari.Tena hata afadhali ya jambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…