Unamchumba wako ambae mnatarajia kufunga ndoa alafu 'ukachit' inakua nini chanzo?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Hope mko poa,

Nyie wanaume wa humu naombeni jibu.

Hivi pale inapotokea unamchumba wako ambae soon mnafunga ndoa alafu ukachit inakua;
a) Tamaa
b) Tabia yako
c) Nature kama mnavyodai
d) Mchumba wako haumpendi umelazimishwa tu au nini hasa?

Naombeni jibu
 
Inakuwa ni uzembe wa upande wa pili wa kutokujua hitaji la mwenzake. Watu mnafikia hatua ya kujiandaa kufunga ndoa bado hamjuani tu, kama unamjua vizuri mwenzako ni rahidi kumuuliza kama anataka ili kumpunguzia mzigo. Mabinti wengi kipindi cha kujiandaa na ndoa ndo mnakuwaga watu wa ajabu wakati kipindi hiki ni stress tupu...mtu kutwa nzima kufuatilia michango mara ukumbi mara sijui nini badala ukutane na mwenzako umpoze ndo kwanza uko busy na mashosti kulingishia unaolewa!!
 
Kichupa kilikuwa kimejaa sana hicho.

Hivyo aliamua kukifanyia uzinduzi katika jimbo lingine.

Mwanaume akichepuka haaminishi kuwa hakupenda(anakupenda sana) ni vichupa tu huwa vinasumbua.
 
Mana yake nihii na ninaomba usije uliza tena.

Mtu anagari nyumban kwake , lakin wakati mwingine anaamua kukodi Taxi ,au boda boda ,,,, Unadhan kwann???

Kwanza analipenda Gari lake sana

Pili anajaribu kulifanya liwe na maisha marefu yaan kutumia usafiri mwingine anafanya gar lake Lisichakae mapema.

Maana bila ivyo akiliendesha kila siku kuanzia tairi , vioo ,bodi zote zitaishia kua na mikwaruzo isokua namaana lkn pia maisha ya Injini yatakua mafupi

Hivo hii ni njia pekee ya kujilinda yaaa kwenye mpira tunasema "" unajilinda kwa kuhakikisha unamshambulia Adui yako"".

Lkn pia gari lako unalionea wivu sana ,,lkn lisokua lako hulionei wivu unajua eeehh...

Sasa basi ,niseme kuchepuka au kutokuchepuka ni akili ya mwanamme !!

Just kusafisha rungu tuu mkuu
 
hope mko poa
Nyie wanaume wa hum naomben jibu
Hv pale inapotokea unamchumba wako ambae soon mnafunga ndoa alafu ukachit inakua
a) tamaa
b) tabia yako
c)nature ...kama mnavyodai
d) mchumba wako haumpendi umelazimishwa tu au nini hasa?
Naomben jibu
Yote majibu kutegemeana na mtu
 
Mana yake nihii na ninaomba usije uliza tena.

Mtu anagari nyumban kwake , lakin wakati mwingine anaamua kukodi Taxi ,au boda boda ,,,, Unadhan kwann???

Kwanza analipenda Gari lake sana

Pili anajaribu kulifanya liwe na maisha marefu yaan kutumia usafiri mwingine anafanya gar lake Lisichakae mapema.

Maana bila ivyo akiliendesha kila siku kuanzia tairi , vioo ,bodi zote zitaishia kua na mikwaruzo isokua namaana lkn pia maisha ya Injini yatakua mafupi

Hivo hii ni njia pekee ya kujilinda yaaa kwenye mpira tunasema "" unajilinda kwa kuhakikisha unamshambulia Adui yako"".

Lkn pia gari lako unalionea wivu sana ,,lkn lisokua lako hulionei wivu unajua eeehh...

Sasa basi ,niseme kuchepuka au kutokuchepuka ni akili ya mwanamme !!

Just kusafisha rungu tuu mkuu
Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh???

Cc Smart911
 
Kama kachit na mipango ya ndoa iko pale pale shida yako nini?

Mara nyingine inaweza kua aliomba mechi ya kirafiki na timu ya mbali kwenyr uwanja wa ugenini kujipima nguvu kama ataweza mechi kwenye uwanja wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom