Unamchukuliaje mwanamke wa namna hii

Unamchukuliaje mwanamke wa namna hii

Kwahiyo simu hujanunua tena ndio mana hawafiki kileleni we unakulwa unaomba hela au simu kilele utakisikia kwa jirani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bora uwaambie wakuskie
 
Hahaaa. Hiyo kali aisee. Yaani badala azipokee raha yeye anawaza nauli lol.

Enhe ukamjibuje sasa?

Pia napata shaka huenda unampa chache sasa akajua ukiwa kwenye ile shughuli lazima utaweka dau kubwa. Hahahaaaa.
Nimependa hapo 'azipokee raha'
 
Kujua ni vema sio masaa kadhaa umzungushie tu kiuno kama feni mbovu na jasho juu
 
Biashara Ni mahesabu mkuu,anaangalia je Kuna maslahi hapo? Ili Kama hamna a reserve nguvu kwa ajili ya gegedo jingine
 
Back
Top Bottom