tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 494
Tanzania iko wapi
mkuu kama hujui subiri humu watakuja wajuaji, eneo lipo tangu enzi ya miaka ya sitini! Hizo ufo,flaing objekti,flaing sousa, hata u2 na sr71 zilifanyiwa majaribio hapo, ndipo raho ya nasa na majaribio mengi wa tekinlojia za siri hifanyika. Mimi nawasuburi wajuaji waje watupe mambo.......kumbe umesoma hadithi za vitabu.nilijua kuwa unajuwa hilo.
Swissme
Area 51, ni eneo la majaribio ya tekinolojia za siri za NASA,CIA na kampuni ya vifaa maalimu ya lockheed, uko sawa kiasi, sr71 ni moja ya mazao ya area 51....
ngere ngereTanzania iko wapi
So hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
natamani kucheka! Ki ukweli nimecheka, kama wajuzi walivyosema hapo juu, kunadhaniwa kuwa na viumbe wa anga za mbali walitua area 51(walikuwepo, sijui kwa sasa) h abari za hapo ni siri sana, na mengi unayoyasoma yametoka kwa kuvujavuja! Unahijati kukomaa kweli kujua habari za alien kwa sababu kiasi kikibwa zinashindana na imani za dini zetu, kuna wataalam wa sayansi wa nasa,cia,nsa ambao wanaweka dini pembeni ili kufanikisha masuala ya tekinalojia!! Hawa wanajua namna ya kuwasiliana na viumbe wengine(ambao kwa kawaida hawapo,kwa siri wapo)wakatafuta eneo la ziwa la magadi na jangwa lililo katikati kama bonde kuuuubwa wakaliita area 51, linalindwa kupita maelezo, hata ndege hazipiti anga lake! Sasa kazi ilikuwa kutengeneza mazingira wa kuwapata hao (alien) kuna michoro mingi ya ajabu area 51 kuanzia geomatrik,pantagram...aisee........more news please........am interested.........