tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 494
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.
Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.
Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.