Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

Naona unakaribisha weekend kwa nguvu,....kula bata
 
kuvuana kunangesha mambo lakini wote mkiwa katika rythm moja.
 
kwa hiyo unataka kusema ukipata hamu na yeye anapata hamu acha hizo bwana mwandae mwenzio nae afurahiie tendo....

kwa kesi ya emergency hakuna kupapasana, hata mwanamke akishtuka isingizini anaweza ichezeavakajichomeka mwenyewe wakati niko usingizini
 
naomba nijidai sijaona alichoandika Karucee
 
Last edited by a moderator:
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?

Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda ukijisikia unapanda, sio mzuka umepanda halafu tunaanza kuambiana VUA BASI, haipendezi hatuna undugu sisi ni wapenzi

Sanasana vaa kinite dress chako chepessss baas, nami ntavaa kibukta changu angavu vikipendana tusipate shida ya kuvikutanisha

Ukilala nayo ntaichana

HATA KNIGHT DRESS HALUNA BUKTA UNAENDA GYM? HAKUNA Mwili mmoja ina maana mwili moja, kwa hiyo= nothing on!!! Nchi moja, mji mmoja, mtaa mmoja, geti moja, nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, neti moja, kitanda kimoja, shuka moja = mwili mmoja!!!
 
kulala uchi kabisa sometimes ina bore. Ndo maana kulala na chupi au kinguo chepesi kunaongeza radha ya mapenzi, maana juu vile mupenzi wangu anaponivua chupi halafu vile navyomuona anainuka kuja kupanda mimi kwangu burudaniii!
 
HATA KNIGHT DRESS HALUNA BUKTA UNAENDA GYM? HAKUNA Mwili mmoja ina maana mwili moja, kwa hiyo= nothing on!!! Nchi moja, mji mmoja, mtaa mmoja, geti moja, nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, neti moja, kitanda kimoja, shuka moja = mwili mmoja!!!

!!!..lakini ndude mbili hili halina ubishi
 
Back
Top Bottom