mkush
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 214
- 163
Aisee ze utamu ilikuwa inawachafua sana wadau..nakumbuka by then tunakimbilia computer za library ili kucheki kipi kipya ze utamu mpk uongozi wa library chuo ukabidi uandike warning ya matumizi sahihi ya net.ama hakika ilitamba sana...kila zama na kitabu chake walijisemea wahenga..