Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

Yule bwana pamoja na utumbo wote huo, sasa hivi yupo tu pale mjini anakula maisha na anajitamba kwelikweli huko kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram. Angekuwa sio mwana CCM sijui angekuwa wapi. CCM ni shida sana, mnawakomalia watu kama kina Fred Minja (mwenyekiti wa wafanyabiashara) wenye hoja za msingi, lakini wapuuzi wa Ze Utamu mnawachekea

Correction: Johnson Minja Kingmairo
 
Last edited by a moderator:
㏘튱介回口嚚튠모오ㆄ壘囟目立₭쇼웃又凸日臼倫凹유㏘ㆄ立凸目介웃臼

他是一个杀手,他应得的剂量

Ushamba unawasumbuwa, google wametuwekea google translate siyo kwa ajili ya mazuzu kama nyinyi.
 
Ushamba unawasumbuwa, google wametuwekea google translate siyo kwa ajili ya mazuzu kama nyinyi.

Ni punguani tu ndiyo ambae anaona teknolojia kuwa ni "ushamba".

Nnakumbuka siku moja ulijidai eti "English Please" ukalambwa Kingereza ukaingia mitini. Si ungetumia google translate tu.

Punguani wahed.
 
Ni punguani tu ndiyo ambae anaona teknolojia kuwa ni "ushamba".

Nnakumbuka siku moja ulijidai eti "English Please" ukalambwa Kingereza ukaingia mitini. Si ungetumia google translate tu.

Punguani wahed.

Pimbi wahed.
 
Ile picha ya mkuu ni noumer....
Nakumbuka niliwahi ofsn cha kwanza ze utamu nikakutana na ile picha niliexit fasta......

Halafu nikafungua upya......kuitazama... (binadamu wabayaaaaa)

Muda mfupi baadae kitu chaliiiii no more ze utamu!!!!!

Aliwekwa sana akiwa na mzungu wake,mara enzi za mabibo akiwa na Miraji K,Tedy nae akawekwa akiwa UsA kwenye choo cha kukaa,Walipomuweka mukulu ndo ikafungwa,ze utamu jamani ilikuwa ni balaa
 
Daaah jamani hiyo ni Pandora box msiifungue. Mnataka makuu nyie?? Hivi ugomvi wa Mange na TK uliishia wapi?Nsia swai alipatia umaarufu kule pia. Walichoharibu ni kugusa kwa watu wazima.

Ile picha am sure itakuwepo tu sehemu hata kwenye cloud ila ni msala mkubwa sitaki hata kuishuhudia tena
 
Ile picha ya mkuu ni noumer....
Nakumbuka niliwahi ofsn cha kwanza ze utamu nikakutana na ile picha niliexit fasta......

Halafu nikafungua upya......kuitazama... (binadamu wabayaaaaa)

Muda mfupi baadae kitu chaliiiii no more ze utamu!!!!!
Kilianza kwanza kwa wale wanaotumia TTCL, wakaja wazee moderm watu waotumia dish wakamalizia kama wiki mara chali, ule mtandao ungekuwepo mpaka sasa sijui ingekuaje maana watu walikuwa wanapiga desa alafu wanapiga kimya maana baada ya kufungwa unakuta watu wanazungumzia matukio yote (lakini siku hizi na MB za bure na internet unapata hata kama una simu ya 30,000 mpaka watoto wanaangalia mambo). Baada ya mkulu kutolewa vile watu wakaanza kusikitika sasa kwa kile kilichofanywa na mtandao ule wakati kuna watu kibao walitolewa hakuna aliekuwa anapaza sauti na ndipo nilipokuja kufahamu kumbe kitu kikihusisha mamlaka ya juu maamuzi ya haraka hufanyika yaani kulikuwa na uwezekano wa kuufunga siku nyingi.
 
Daaah jamani hiyo ni Pandora box msiifungue. Mnataka makuu nyie?? Hivi ugomvi wa Mange na TK uliishia wapi?Nsia swai alipatia umaarufu kule pia.

Hili toto la kichaga lilikimbiza sana aisee....ile mipicha yake kama Masogange atiii

Walichoharibu ni kugusa kwa watu wazima.

Ile picha am sure itakuwepo tu sehemu hata kwenye cloud ila ni msala mkubwa sitaki hata kuishuhudia tena

Tatizo kiranja mkuu aliingia kwa mbwembwe watu wakitarajia makubwa toka kwake....mwisho ikawa ni total disappointment...wadau waona wamchane tu kama mbwai na iwe mbwai...
 
Back
Top Bottom