mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mkuu unataka kuwatafutia watu balaah wewe
Haahahaha kwa nn mkuu
Mkuu unataka kuwatafutia watu balaah wewe
Haahahaha kwa nn mkuu
Katika ile picha kwa namna kiranja mkuu alivyokunjwa halafu wataka watu waiweke hewani tena....
Teh teh unataka ardhi ipasuke watu tukimbile huko ama...
Huyo angekua sio mtoto wa kigogo angeshtakiwa kwa ile sheria ya CCM ya (mabwepande) si mnakumbuku hukumu ya ulimboka
Ulimboka muuaji, kauwa wagonjwa wetu wengi sana kwa kushinikiza migomo kwa matakwa ya kutumiwa kisiasa, yuko wapi?
㏘튱介回口嚚튠모오ㆄ壘囟目立₭쇼웃又凸日臼倫凹유㏘ㆄ立凸目介웃臼
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya.
1. Alishitakiwa Mahakama ipi?
2. Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3. Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?

他是一个杀手,他应得的剂量
umenikumbusha ze utamu,huko ndo nilimjulia Mange,sijui Ray Regency kina Masha lile kundi sijuwi liliitwaje vile
所以中国是允许在jf ?你知道他在哪裡?
lol
所以中国是允许在jf ?
Naona kijana umeanza kufungua mitandao wakati wa internet za bure bure hizi nini?
Dah!!! ze utamu waliweka picha ya 'kiranja mkuu' akikamuliwa uwemba huku uso wake ukiwa umejaa lile tabasamu lake maarufu...
Ilikuwa shughuli wakti huo aisee!!!
umenikumbusha ze utamu,huko ndo nilimjulia Mange,sijui Ray Regency kina Masha lile kundi sijuwi liliitwaje vile
Mange nae aliwekwa kuna kituko alifanya ama??
Nielezee vizuri ilikuwaje.. uwemba ndio nini au hata maelezo hairusiwi....
所以中国是允许在jf ?
naona kijana umeanza kufungua mitandao wakati wa internet za bure bure hizi nini?
Dah!!! Ze utamu waliweka picha ya 'kiranja mkuu' akikamuliwa uwemba huku uso wake ukiwa umejaa lile tabasamu lake maarufu...
Ilikuwa shughuli wakti huo aisee!!!