Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

Ulimboka muuaji, kauwa wagonjwa wetu wengi sana kwa kushinikiza migomo kwa matakwa ya kutumiwa kisiasa, yuko wapi?
Mama mkwe hakuuwa yeye ni serikali kwa kukataa maoni ya madaktari, nchi tunawachezea wataalam mbunge kupewa pesa zote za nini? ili hali waalimu madaktari wanapewa kiduchu? au kwasababu tuna watumia kama malema alivyo wahi kusema.
 
Hahaha...ngoja ni shiiii ambao hawakuona bahati yao mbaya

na kweli shiiii manake unakoelekea siko kabisaa na mie sitak kukukosa hapa
wengi walikuwa wtt na matumiz ya blog hayakuwa yanajulikana sana hivi wewe umesahau gazti la WASAA??
ama ulikuwa bado hujazaliwa?? hakunaga kitu nakimis kama lile gazetiii khaaa......??
 
Nalitambua hilo gazeti haswaa pamoja na gazeti Cheka, Heko n.k

Wasaa walikuwa na chapisho la hadithi yao moja hivi yaitwa "Penzi la Tapeli"...
 
Nalitambua hilo gazeti haswaa pamoja na gazeti Cheka, Heko n.k

Wasaa walikuwa na chapisho la hadithi yao moja hivi yaitwa "Penzi la Tapeli"...
mweeeh................lilikuwaga jamani lina mambo acha kabisa
enzi hizo ndo balehe imekolea ukisoma hilo gazeti unanyegeka hatari khaaaa!!!
tumetoka mbali sanaaa
 
Ze utamuuuuuu lol! Niliwasoma wengi kule ambao nawafahamu kwa karibu kabisa na baadhi wake kwa waume baada ya kutonywa kwamba walichorwa kule waliingia na kuanza majibizano makali na ze utamu. Ilifikia mahali watu wakaanza kuogopa kupigwa picha wakiwa clubs au sehemu mbali mbali za starehe na hata harusini kwa kuhofia picha zao kuwekwa kule. Ilivyofungwa wengi walifurahia sana.
 
Yap baada ya kumtoa mkuu ndipo ilipodhihirika kuwa uwezo wa kuifunga walikuwa nao ila kwa kuea hayakuwa yamewakuta walidharau

Maana ilikuwa usigombane na mtu mji huu unatupiwa ze utamu..... ilijua kutesa watu

Kilianza kwanza kwa wale wanaotumia TTCL, wakaja wazee moderm watu waotumia dish wakamalizia kama wiki mara chali, ule mtandao ungekuwepo mpaka sasa sijui ingekuaje maana watu walikuwa wanapiga desa alafu wanapiga kimya maana baada ya kufungwa unakuta watu wanazungumzia matukio yote (lakini siku hizi na MB za bure na internet unapata hata kama una simu ya 30,000 mpaka watoto wanaangalia mambo). Baada ya mkulu kutolewa vile watu wakaanza kusikitika sasa kwa kile kilichofanywa na mtandao ule wakati kuna watu kibao walitolewa hakuna aliekuwa anapaza sauti na ndipo nilipokuja kufahamu kumbe kitu kikihusisha mamlaka ya juu maamuzi ya haraka hufanyika yaani kulikuwa na uwezekano wa kuufunga siku nyingi.
 
Ze utamuuuuuu lol! Niliwasoma wengi kule ambao nawafahamu kwa karibu kabisa na baadhi wake kwa waume baada ya kutonywa kwamba walichorwa kule waliingia na kuanza majibizano makali na ze utamu. Ilifikia mahali watu wakaanza kuogopa kupigwa picha wakiwa clubs au sehemu mbali mbali za starehe na hata harusini kwa kuhofia picha zao kuwekwa kule. Ilivyofungwa wengi walifurahia sana.

hahaaaaaaaa hiyo ilikuwa kiboko aiseeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daanganya toto kula kunde mbichii..:A S-baby:
 
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya.

1. Alishitakiwa Mahakama ipi?
2. Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3. Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?
le mutuz njoo huku, ujibu hili tafadhali...!
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa ni mtoto wa Job Lusinde...jina lake kamili limenitoka ila kati ya majina yake kuna jina la Malecela

Watu8 ntaku pm namba yangu ya watsap unitumie ile picha. Dah...kaka mkuu alikuwa na kijungu kinene kipindi kileeee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom