mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,426
- 10,027
long time iyo ki2Unakumbuka wapi na mwaka gani kwa picha hii. Weka picha ya zamani na useme unakunbuka nini.View attachment 1334623
GOD is GOOD
Hizo dawa zimesababisha watoto wengi kupata ulemavu wa kusikia (viziwi). Shukuru Mungu kama ulivuka salama.Ila umaskini bana ulaaniwe. Eti kwetu hadi hivyo vijuisi vilikuwa vya anasa kukabahatisha hadi uwe unaumwa na uwe na dozi ya quinine au croloquine(sijui nimepatia kuiandika) na masikio yawe yameziba au mwili wote unawasha.
By the way hivi aliegundua hizi dawa mbili kweli ataiona pepo? Hivi hakuwa na roho chungu kama dawa zake?
Huu ndio ulikuwa u brother man sasa,sio wa vitoto vya siku hizi kuvaa vimipago ,jamaa katupia vitu vya ukweli balaaWakati nikiwa kijana kana ninyi! View attachment 1334636
Mzee kama kwako hiyo jus ni zamani kweli wewe ni dogo, wewe inawezekana hata super deep kwako ni zamaniWw unajua ya mwaka gani hiyo ?
GOD is GOOD
Dah! Kuna dogo alipatiwa Chloroquine akiwa na malaria zile dawa zilimuwasha sana hadi akamwambia bi mkubwa wake eti kheri usingenizaa mtu...Bi.mkubwa wake kamuuliza ulitaka uzaliwe nani? Akadai kheri ungenizaa hivyo hivyo kama jiwe, mti...Ila umaskini bana ulaaniwe. Eti kwetu hadi hivyo vijuisi vilikuwa vya anasa kukabahatisha hadi uwe unaumwa na uwe na dozi ya quinine au croloquine(sijui nimepatia kuiandika) na masikio yawe yameziba au mwili wote unawasha.
By the way hivi aliegundua hizi dawa mbili kweli ataiona pepo? Hivi hakuwa na roho chungu kama dawa zake?
Dah skuli hapo mchana saa8 mwezi wa saba hivi unaingia na pichu tu nguo acha mbali utatoka na perfume la hatariHapo Vp self container Choo cha shimo ndan View attachment 1337298
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah zile dawa zilikuwa hatari. Mi nimezitapika sana kwenye glass za maji. Sisi bi mkubwa alikuwa anaisaga kwenye kijiko then anaimwagia maji kidogo unainywa kama dawa ya kikohozi au syrup, aisee hamna tendo nilikuwa naliona la kikatili kama lile maana dawa ni chungu hakuna mfanoDah! Kuna dogo alipatiwa Chloroquine akiwa na malaria zile dawa zilimuwasha sana hadi akamwambia bi mkubwa wake eti kheri usingenizaa mtu...Bi.mkubwa wake kamuuliza ulitaka uzaliwe nani? Akadai kheri ungenizaa hivyo hivyo kama jiwe, mti...
Mwaka 2010 metakelphin ziliniletea msala kama huo, now days napiga malafin au msetoDah! Kuna dogo alipatiwa Chloroquine akiwa na malaria zile dawa zilimuwasha sana hadi akamwambia bi mkubwa wake eti kheri usingenizaa mtu...Bi.mkubwa wake kamuuliza ulitaka uzaliwe nani? Akadai kheri ungenizaa hivyo hivyo kama jiwe, mti...
Mie hizo zote zinaniendesha aisee...Natumia Duocotexin.Mwaka 2010 metakelphin ziliniletea msala kama huo, now days napiga malafin au mseto
Nakumbuka hii tulikua tunatumia kukata magurudumu ya kutengenezea magari, unalichoma kwenye moto then unakandamiza kwenye ndala tairi linatoka zuri kwa imagination ya kipindi kile tunasema imetoka kiwandani tena grade A kabisa
Hahaha!! Mie na utu uzima huu naogopa vidonge, yaani nikimeza dawa naondoa hisia kwa muda ili zimezeke vinginevyo nazirudisha zote.Hahah zile dawa zilikuwa hatari. Mi nimezitapika sana kwenye glass za maji. Sisi bi mkubwa alikuwa anaisaga kwenye kijiko then anaimwagia maji kidogo unainywa kama dawa ya kikohozi au syrup, aisee hamna tendo nilikuwa naliona la kikatili kama lile maana dawa ni chungu hakuna mfano
Wakati nikiwa kijana kana ninyi! View attachment 1334636
Maisha ya boardingDah skuli hapo mchana saa8 mwezi wa saba hivi unaingia na pichu tu nguo acha mbali utatoka na perfume la hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimeziona sana Moshi