hili lilikua tangazo bhana..
Embu jitokeze, jionyeshe, simama mbele za watu kiwi hungarisha wewe utapendeza, wewe utavutia mbele za watu, waweza kupata mng'aro wa kipekee tena ni mng'aro wa ajabu niko mbioni nimeipata ni cha kumetameta..

Imenikumbusha 1985 nikiwa naenda kuangalia mieleka bwalo la maofisa CCP Moshi kiwi ndio walikuwa wadhamini enzi hizo Big Dad alikuwa anatesa kwenye mieleka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.