unakumbuka haka kamchezo?

unakumbuka haka kamchezo?

duuh hiyo ilikua noma sana yani kuna watu walikua mafundi hadi unaogopa kucheza nao
 
Hahahahaha balaa sana ilikuwa kila wakati wa mapuzko shule lazma tucheze na tukfka hme ndo ilikuwa kazi mpaka uck tunafutwa....
 
hii kitu ulikuwa na uwezo wa kuchuchumaa hata nusu saa unagonga gololi tu...ila naona uchezaji unatofautiana na mkoa na mkoa maana tukiwa Arusha naona una chuchumaa unapiga hatua za vidole then unalenga bt wana dar es salaam naona wanasimama hakuna kuchuchumaa
Arusha tulikuwa tunachuchumaa nusu siku, dar wavivu wakabuni wakwao kusimama.
 
Huku kwetu tulikuwa tunauita GAJA,hahaha, duh.....kweli tumekuwa
 
Daaa mmenikumbusha mbali sana.... Huo mchezo ulitusaidia kujua kuhesabu hadi Mia mbili kabla hata hatujaanza Shule daa..
 
Gonda. Kuna jamaa alikuwa anaweza kuivunja golori kwa kuipiga na golori(tunaita kibenju)
mwanza tulikua tunakulazi na kuhesabia nguti ilikua full mautam siku hizi watoto wamebaki kwenye facebook na kulegeza trousers yaani yamekua ndorobo mpaka class
 
kanaitwaje vile

Mkuu huu mchezo ni wa vijana wadogo sana ILA hilo kono kubwa, baya halafu jeusi hapo ktk picha hiyo UMENIACHA njia panda kidogo na unaonekana wewe ni mcheza KAMALI ULIYETUKUKA.
 
Mkuu huu mchezo ni wa vijana wadogo sana ILA hilo kono kubwa, baya halafu jeusi hapo ktk picha hiyo UMENIACHA njia panda kidogo na unaonekana wewe ni mcheza KAMALI ULIYETUKUKA.

Nazungumzia mchezo wenyewe sio huo mkono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom