unakumbuka haka kamchezo?

unakumbuka haka kamchezo?

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
kanaitwaje vile
 
Attachments

  • 1438158531509.jpg
    1438158531509.jpg
    62.5 KB · Views: 1,649
Siku hizi wanazirusha tu hawajui na hawajahi kuuona huu mchezo
 
hii kitu ulikuwa na uwezo wa kuchuchumaa hata nusu saa unagonga gololi tu...ila naona uchezaji unatofautiana na mkoa na mkoa maana tukiwa Arusha naona una chuchumaa unapiga hatua za vidole then unalenga bt wana dar es salaam naona wanasimama hakuna kuchuchumaa
 
Yaah inautofauti kiuchezaji
 
kitambo sana.tulizitumia kama urembo pia kwenye vioo vya kufugia samaki

  • :cheer2:
 
Ha ha ha! Dah! umenikumbusha mbali sana...na ule wa visoda kuchezesha mechi & mabetri pia ... ilikuwa poa sana. Yaani ukicheki magoti yangu yalikomaa sbb ya michezo hii.
 
😀😀 ha ha haaa
 
umeonaee...yan ilikua raha saana

Nakumbuka wazazi wanaleta vita na mimi kisa sijapita hom kula lunch wakati namdimisha mtu siendi kula maana huku kwetu ukiondoka tu mchezoni unaemdimisha amechkua ofa.
 
Dah Mahenge Primary school hapo 1983 84 tukiita nguti aka gololi dah nilikuwa naicheza balaa ila kulikuwa na watoto bingwa wa hiyo kitu. Braza angu alikuta hizo gololi room dah nilichezea kichapo sikucheza tena
 
yan unaweza kuiba ela ili ununue gololi tu daah utoto raha sometimes
 
Gonda. Kuna jamaa alikuwa anaweza kuivunja golori kwa kuipiga na golori(tunaita kibenju)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom