Unakumbuka haka Kagari!!

Umenikumbusha mbali sana kaka,bila ya hako kagari mama alikuwa hanitumi dukani na hata nisipokachukua lazima aniulize mbona hujachukua gari lako.Na alijua kabisa nikikachukua ni mbio kwenda na kurudi,ila nisipokachukua muda nitakaotumia kwenda na kurudi ni mara tatu..
 

hahahaha, safi sana aisee. Afu hii ilikuwaga gari ama pikipiki? Kakangu (he was a cowboy, RIP) alikuwa anavaa helmet sufuria. Lol
 
DAh long time sana, ubunifu 100% siku hizi sijaona watoto wakitengeneza hizi issue
 
Nilikua natengeza hiyo makitu mtaa mzima hakuna kama mimi, nilitamani sana kuwa Injinia....
Magari mengi nilikua nauzia wenzangu...
I was damn good lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…