Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Sijawahi acha wala kuachwa nikaacha umia...Huwa hata leo hiii niachane na huyu mpenzi wangu Bado kuna ka internal feeling flani ka maumivu ndani yangu,Naachaga sana wadada ila nawaachaga huku Naumia YANI sijawahi acha mtu halafu moyoni mwangu nikawa na amani.

Natamanigi niwe kama mswati..wote wawe wangu sema ndio ivyo tena ni lazima uwe na mmoja TU.
 
😂😂😂😂 nampenda kweli na tangu aniache anasema alikua ananitania eti 😂😂😂 ila ndio nafasi yake haipo tena
Ananiambiaga hivihivi ex wangu kaolewa na mzungu huko... ila akirudi bongo kwa likizo ananiletea kitumbua kiroho safi kabisa.

Usimwambie bibi yako tafazali
 
huyu mjinga aliniacha nipo msibani kwa bibi 2013 na kuniambia mambo kibao, nililia sana ukijumlisha na msiba basi nilikuwa sishikiki. after an year nikawapoa. siku hiyo naona call yake namba mpya ila nilishaishikaga kichwani hata nikiamshwa siwezi isahau. nikapokea ananiuliza uko hostel nikamshangaa nikaamua nimuache aje nimuangalie usoni na jisura ka lichapati la kuongeza.
akaja na tropical azam juice na maji na chocolate za masiku ananiuliza inshort nilisha move on nilikuwa na this guy Medicine student ye yupo mwanza mi nipo udsm, alikuwa anajali sana this dokuta but hakuwahi gusa moyo ka huyu mwenye sura ka chapati ya kuongeza kwa mama ntilie, basi hata sijui ilikuwaje tukaanza kudate tena mapenzi motomoto hadi ndoa 2017 hahhahah its sad jinsi linivyomuachaga mkaka wa medicine hadi leo namuoneaga huruma. but sikuweza muacha my first man form him na sikumpenda. alilia hadi nilijisikia vibaya kama nimeuwa. kama unasoma hii nisamehe NISAMEHE BIG TIME
 
Nimekusamehe lakini sitakusahau...
 
Hapana jamaa alikuwa HB zaidi, ila huyu wa pili my heart felt him.
huyo jamaa atakuwa ndio wale mabaharia wanaoitaga mchumbaa[emoji23][emoji23][emoji23]...so ulimtosa ukaruka na Ben ambaye ndio HB sio
 
Wanawake ndo mlivyoo... Anaekufariji wakati ukiwa katika mgumu kama ana akili timamu inabdi Akugongee akuachee[emoji23][emoji23][emoji23] Kama hajielewi atafanya kama huyo jamaa wa medicine...!!
 
Duh!
 
Wanawake ndo mlivyoo... Anaekufariji wakati ukiwa katika mgumu kama ana akili timamu inabdi Akugongee akuachee[emoji23][emoji23][emoji23] Kama hajielewi atafanya kama huyo jamaa wa medicine...!!
nimeshindwa ni mwamvie nini, sema ndo hivyo moyo ushapenda, yani mtu akishatendwa tunaodandia mbele twajitesa tu
 
Like yangu umeiona?
 
nlipoachana nae kesho akanijia na Kiwembe eti anilarue uso







wanawake wa buza sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…