Unakumbuka breakup yako ya kwanza?


Dua la Kuku
 
We jamaa umenifanya kwa sauti usiku huu, eti nyama ikawa kama likiazi.
BTW pole sana jombaa hawa viumbe ndo maana wengine wanatinduliwa na kuachwa.
Asante sana man,,Hawa ma'manzi ni vigumu sana kuwaelewa.
 
Sikuumia maana nilimwacha mwanaume wangu wa kwanza ili niwe na my first love. Burudaaaani.
huyo jamaa atakuwa ndio wale mabaharia wanaoitaga mchumbaa😂😂😂...so ulimtosa ukaruka na Ben ambaye ndio HB sio
 
Me pia bado nakupenda mpnz
 
Mapenzi sometimes yanaboa sana, binadamu unazaliwa vizuri ukiwa na utu na mapenzi ya kweli ila unapoumizwa kwa mara ya kwanza daah ukipona unageuka mnyama..
ndio maana mnashauriwa muoane wote mkiwa bikra.
 
Ulimpenda baharia tatizo 🤣🤣🤣 ila ubaya ni kwamba nawewe kuna mtu angekupenda kwa kiwango hiko hiko ungekuwa unamfanyia visa vya kishamba kama vya huyo baharia.

Mapenzi bana sijui yakoje, unaempenda hadi kufwa yeye wala hana habari nawewe same applies unapopendwa hadi haielezeki pia unazingua😂
 
Aisee.Polen wakuu.Binafsi at 30's sasa bado sijakutana na hii misala.Ukiachana na zile fujo za kwenye mahusiano kabla sijamuoa.Ila kisaikolojia nimeshajipangaga kitambo in case of anything anytime
Huwezi kusema umejipanga, nakuombea mdumu tu...Asije akapata mtu wa kumchocha pemben akadai talaka kinguvu...Tutakuzika na kilo zako ,🤣🤣🤣
 
Huyo mzee alikuwa Mpumbavu aliezeeka...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Japo alishafariki Mungua anisamehe
Unajua nini kiongozi ,kuna watu kwenye maisha wanajisahau sana yaani wanaishi kama kesho wameiona
 
Ungetuelezea kidogo ilikuaje mkaachana??
 
Hapa wanawake wengi hutamani kunywa sumu, na wanaume hutamani kujinyonga...
duu hii ni kweli kabisa, tena nilifika hadi polini, nikawaza sana ila mwidho wa siku nikaona nirudi room, ila niliwaza kabisa kujinyonga. Ukizingatia jamaa aliekua fitna kwangu alikua around
 
Nimecheka nusu nizime
 
Napitia tu comments na mm[emoji2][emoji2]
naombeni ziwe fupifupi bas[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…