Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,546
Polepole ndio mwendo, unatembea polepole, mvua inakukuta njianj, inakunyeshea, unapatwa na baridi, unapata nimonia, unakufa.
UnaendaHutaki nikushike,unashikwa na homa UNAKUFA...
Mbinguni hakuna kufaa...Unaenda
Mbingun
Unakufa
Hutaki nikushike,unashikwa na homa UNAKUFA...



HahahahahahahaaahhahaUnakata kucha kwa wembe, mara wembe unaruka juu, unaasama mdomo kwa mshangao, wembe unaingia mdomoni unakara koromeo, unakufa.
Kama final destination vile😀😀😀😀Hahahahahahahaaahhaha
We jamaaaa
Nikifa nayeye anapata stress,vidonda vya tumbo anashindwa kula anakonda anakufa,.
Nawe upo huku....ukikutwa na mmeo unaachika unapooza kisha unakufa
HahahahaKama final destination vile😀😀😀😀
Kama final destination vile![]()


Jamani ni kitu gani hichi..!! Unakufa Unakufa.![]()
😀😀😀😀Unajifanya hujui ni nini....unauliza kumbe ni terminator linakumeza unakufa
Mkuu inakuhusu hii nnUnachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA
KitamboUnaomba mahaba niuwe unapewa unakufa