Unasikia familia ya Mo imetangaza 1B ukimpata/ukitoa maelezo,usiku mmoja unakatiza maeneo ya Seaview unakutana na Toyota Surf la Blue lime park pembeni ya road hujishuulishi nalo.Asubuhi unasikia ndio lilimrudisha Mo kwa mshtuko wa kupishana na pesa unakufa.....