Unakijua kigudi?ndiyo ugonjwa wangu

Unakijua kigudi?ndiyo ugonjwa wangu

Nadhan ukizungumzia KIGUDI kwa mm nimekuelewa xana pamoja na wahehe wenzangu!! We n noma!!
 
Wanawake wenye vigudi huwa sexy sana.Kigudi ni sehemu ya mwili ya mwanamke iliopo katikati ya mgongo na kiuno au tuseme juu kidogo baada ya makalio.

Usiombe umkute kachora katattoo eneo hilo halafu kabinuka.

Wanawake wote wenye hii kitu,Am your number one fan.

mimi mgumu sana kuelewa ngoja nimwite mtu aniletee kapicha chenye KIGUDI chenye tatuu.. Tyta njoo!

564099_1410196789209775_1895920147_n.jpg
67821139b5L.jpg
 
Na kigudi chenye mkia je........kinafaa.......?
 
Nadhani wameelewa asante kwa kunisaidia mpost picha.
 
tayta tunaomba picha ya "kigudi"tafadhali!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom