Unakijua kigudi?ndiyo ugonjwa wangu

Unakijua kigudi?ndiyo ugonjwa wangu

kateli

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
70
Reaction score
28
Wanawake wenye vigudi huwa sexy sana.Kigudi ni sehemu ya mwili ya mwanamke iliopo katikati ya mgongo na kiuno au tuseme juu kidogo baada ya makalio.

Usiombe umkute kachora katattoo eneo hilo halafu kabinuka.

Wanawake wote wenye hii kitu,Am your number one fan.

564099_1410196789209775_1895920147_n.jpg
67821139b5L.jpg
 
Wanawake wenye vigudi huwa sexy sana.Kigudi ni sehemu ya mwili ya mwanamke iliopo katikati ya mgongo na kiuno au tuseme juu kidogo baada ya makalio.

Usiombe umkute kachora katattoo eneo hilo halafu kabinuka.

Wanawake wote wenye hii kitu,Am your number one fan.

Mwanadamu kumbuka u mavumbi na mavumbini utarudi
 
Duh kweli shoo ya kibabe.Navuta picha kama baunsa kapanda stejini kanitoa akanisukumia nnje afu kafunga mlango.Mithili ya Gibo.

hahahahahahaahahaha.. yaani ukikutana na mimi utacheka zaidi yangu
 
Kigudi ni sehemu ya mwili ya mwanamke iliopo katikati ya mgongo na kiuno au tuseme juu kidogo baada ya makalio.

Bila shaka utakuwa unatembelea nyota ya beberu maana huwa anawehuka akipitisha pua yake maeneo hayo...kifuatacho ni kupiga chafya bila breki.
 
Wataalumu waje watuwekee picha ya panzi kama ana kiuno na kigudi chanye tattoo pls
 
Embu acheni kutishanatishana na kudis bila mantiki, mbona watu wanajadili maumbo, rangi za akina dada, kabila na amuwasemi? acheni izo mwache mdau afunguke akipendacho wala ajamtukana mtu
 
Bila shaka utakuwa
unatembelea nyota ya beberu maana huwa anawehuka akipitisha pua yake
maeneo hayo...kifuatacho ni kupiga chafya bila breki.

umemsimangaje mtoto wa mwanaume mwenzio? Mecheka had basi watu8
 
Last edited by a moderator:
mimi mgumu sana kuelewa ngoja nimwite mtu aniletee kapicha chenye KIGUDI chenye tatuu.. Tyta njoo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom